Baada ya kupata Chakula unapenda kushushia na kinywaji gani?

Mara tu baada ya kupata/Kula chakula chako Lunch au dinner unapendelea kushushia na kinywaji gani?

Binafsi napendelea kuywa Pepsi au Coke ya Baridi kabisaa.

CC Zero IQ
.
1552667804336.jpeg


Jr
 
Inashauriwa baada ya mtu kupata chakula asinywe maji hapo hapo hadi walau muda wa saa moja na zaidi upite !
La sivyo tumbo linaweza kujaa na kuathiri mmeng’enyo wa chakula tumboni !
Kinywaji kinachofaa baada ya chakula baada ya chakula ni vizuri kiwe kizito mfano maziwa ya mgando, juisi ya parachichi n.k


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom