Baada ya kuona Watu walio wakodi kuja kushangilia Helkopta hawajafika wakahairisha safari

Na wewe nae ni mmoja wa GT wa JF ? . Kama ndivyo ndivyo basi ni hasara kubwa kwa mtandao huu na taifa kwa ujumla ! Inatusaidia nn hii humu ndani ? . Halafu ndio utaona watu wanaipenda na kuichangia sana. Tuna safari ndefu sana !

Yaani wewe GB ndiyo unajiona GT wa JF??? Ingekuwa ni hivyo then JF isingekuwa hapa ilipo!!

Mitoto ya Mifisadi tunaijua kwa michango yenu JF!!!
 
Back
Top Bottom