Baada ya kuona virungu vya akina dada vimezidi ,nimechukua uamuzi ufuatao;

ngonyango

JF-Expert Member
Aug 7, 2017
1,836
2,000
Moja kwa moja kwenye mada.Naona kila demu sasa ukimtokea kuna wengine wanakupa kwanza papuchi halafu wanaanza kukumwagia invoices .Vilevile kuna wengine wanakuletea kwanza invoices kabla ya kukupa papuchi...Sasa ili nipate thamani ya pesa yangu nimeamua kuwaingiza kwenye mchakato wa zabuni.Yaani huwa najipa wiki mbili au tatu (kwa mademu wapya niliowatokea) halafu ninashindanisha zile invoices zao ambaye gharama zake ziko chini kuliko wengine huyo ndiye anakuwa mshindi hivyo huwa ninadumu naye at least kwa muda...akizingua namcheki yule anayefuatia kwa gharama ndogo....mtindo huu nimeuanza tangu February mwaka huu, naona mpaka sasa kuna unafuu kwenye matumizi ya virungu....Je wadau wenzangu huwa mnatumia njia zipi kupunguza maumivu ya virungu?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom