Baada ya kuona status yangu nakunywa bia, amenipenda kwa kasi ya ajabu

Habari wakuu

Hakika wanawake kuwaelewa ni ngumu mno, ni mwezi mmoja umepita tangu nilivyomuapproach mtoto mmoja hapa jiji la joto na akanitolea nje.

Nikapambana kila namna lakini mtoto hakunielewa ndani ya siku 4 nikajikatia tamaa. Ilibaki tunaonana kupitia status za wasap pasipo kucoment chochote

Wikiend hii nilijichanganya kiwanja nikatulia napiga zangu Serengeti lite..Tungi lilipozidi nilijikuta nimepost selfie niko na bia kama tano hivi.

Hapohapo yule mtoto alipoiview tu basi akili yake ikamruka...hee kumbe unakunywa bia? Nikajisemea tu napunguza mawazo..Hapo ndio akajiset na kuuliza lini niwe nae anipe kile nataka.

Hapa najiuliza hivi ni hizi bia tu ndio zimemfanya mtoto adate kiasi hiki, maana sio kwa sms na calls za fujo.

Hivi wanawake nini kinawapendeza? Mwanzo nilikuingia kiuchungaji ukazingua, kuona bia tu basi mambo yamekubali.

Wanawake mueleweke vipi lakini.

Walevi sio wanafiki, wanasemaga ukweli daiam, hajakupenda kaipenda pombe, huyo ndio mke wa kuoa faster kabla pombe hazijaisha
 
Walevi kiasi huwa tunapiga game za kibabe maana hatuna hata tone ya aibu huyo ana katabia ka ngono adimu
Mfano anapenda three some,kuliwa ndogo ,mastail magumu etc sasa ukitia bia 8 hakuna kukataa ofa zote
 
Habari wakuu

Hakika wanawake kuwaelewa ni ngumu mno, ni mwezi mmoja umepita tangu nilivyomuapproach mtoto mmoja hapa jiji la joto na akanitolea nje.

Nikapambana kila namna lakini mtoto hakunielewa ndani ya siku 4 nikajikatia tamaa. Ilibaki tunaonana kupitia status za wasap pasipo kucoment chochote

Wikiend hii nilijichanganya kiwanja nikatulia napiga zangu Serengeti lite..Tungi lilipozidi nilijikuta nimepost selfie niko na bia kama tano hivi.

Hapohapo yule mtoto alipoiview tu basi akili yake ikamruka...hee kumbe unakunywa bia? Nikajisemea tu napunguza mawazo..Hapo ndio akajiset na kuuliza lini niwe nae anipe kile nataka.

Hapa najiuliza hivi ni hizi bia tu ndio zimemfanya mtoto adate kiasi hiki, maana sio kwa sms na calls za fujo.

Hivi wanawake nini kinawapendeza? Mwanzo nilikuingia kiuchungaji ukazingua, kuona bia tu basi mambo yamekubali.

Wanawake mueleweke vipi lakini.

Chapombe huyo msichana
 
Amekuona una pesa
 
Back
Top Bottom