Baada ya kuona jinsi Chelsea ilivyoteseka kwa Brentford, nikaelewa Arsenal hakuwa na namna nyingine zaidi ya kufungwa!

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
13,663
18,036
Brentford wanaupiga mwingi sana, has a wakiwa nyumbani. Watu wengi waliwadharau sana Arsenal walipofungwa 2 bila na Brentford mechi ya mwanzo.

Kusema ukweli haka katimu kalikopanda daraja mwaka huu ni moto wa kuotea mbali! Mashabiki wa Chelsea walipata wakati mgumu sana kipindi cha pili nikiwamo Mimi.

Mbali na arsenal timu zijiandae kisaikolojia kuachia pointi pale uwanja Wa nyumbani wa Brentford.
 
Halafu mifano yenu ya kila siku kwa Arsenal hatutaki

Mbona hamtolei mfano wa Liverpool kutoa nao sare na The bees

Naombeni mtupumzishe mashabiki wa Arsenal
 
Brentford wanaupiga mwingi sana, has a wakiwa nyumbani. Watu wengi waliwadharau sana Arsenal walipofungwa 2 bila na Brentford mechi ya mwanzo.

Kusema ukweli haka katimu kalikopanda daraja mwaka huu ni moto wa kuotea mbali! Mashabiki wa Chelsea walipata wakati mgumu sana kipindi cha pili nikiwamo Mimi.

Mbali na arsenal timu zijiandae kisaikolojia kuachia pointi pale uwanja Wa nyumbani wa Brentford.
Mwalimu wao ni TACTICIAN , kila gemu anakuja na mbinu mpya

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom