feyzal
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 6,784
- 12,590
Naombeni mwenye kujua historia ya huyu mwanasiasa wa SA(bondeni) kuanzia, alipozaliwa, elimu na maisha yake kwa ujumla nje na ndani ya siasa afunguke hapa tupate kujua kwa tusiojua.
Wanasiasa wachanga kuna cha kujifunza kwake na laiti tungepata watu japo wa 5 wenye ujasiri wa namna hii pale mjengoni Ndugai angeomba poo.
#Onyo
Sijui kutumia google kwahiyo kama hujui kaa kimya usiseme nikagoogle.
View attachment 1363359
Sent using Jamii Forums mobile app
=====
Majibu

Julias Malema au (juju) ni jina la utani alizaliwa 3 March 1981 ni mtoto wa tatu kwa kuzaliwa amehitimu University South Africa amelelewa na ANC tangu ana miaka minane mpaka 2012 alipofukuzwa na Zuma na hivi sasa ni kiongozi wa EFF(ECONOMIC FREEDOM FIGHTERS )
Sent using Jamii Forums mobile app