Baada ya kuona hivi vipande vya video mbili, natamani kumjua zaidi Julius Malema

feyzal

JF-Expert Member
Apr 20, 2016
6,784
12,586
Naombeni mwenye kujua historia ya huyu mwanasiasa wa SA(bondeni) kuanzia, alipozaliwa, elimu na maisha yake kwa ujumla nje na ndani ya siasa afunguke hapa tupate kujua kwa tusiojua.

Wanasiasa wachanga kuna cha kujifunza kwake na laiti tungepata watu japo wa 5 wenye ujasiri wa namna hii pale mjengoni Ndugai angeomba poo.

#Onyo
Sijui kutumia google kwahiyo kama hujui kaa kimya usiseme nikagoogle.

View attachment 1363359

Sent using Jamii Forums mobile app

=====
Majibu
Julias Malema au (juju) ni jina la utani alizaliwa 3 March 1981 ni mtoto wa tatu kwa kuzaliwa amehitimu University South Africa amelelewa na ANC tangu ana miaka minane mpaka 2012 alipofukuzwa na Zuma na hivi sasa ni kiongozi wa EFF(ECONOMIC FREEDOM FIGHTERS )

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nimesema hapo juu natamani kujua elimu yake,alipozaliwa na maisha yake kwa ujumla nje na ndani ya siasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Julias Malema au (juju) ni jina la utani alizaliwa 3 March 1981 ni mtoto wa tatu kwa kuzaliwa amehitimu University South Africa amelelewa na ANC tangu ana miaka minane mpaka 2012 alipofukuzwa na Zuma na hivi sasa ni kiongozi wa EFF(ECONOMIC FREEDOM FIGHTERS )

Sent using Jamii Forums mobile app
 
julias malema au( juju ) ni jina la utani alizaliwa 3 march 1981 ni mtoto wa tatu kwa kuzaliwa amehitimu university South africa amelelewa na anc tangu ana miaka minane mpaka 2012 alipofukuzwa na Zuma na hivi sasa ni kiongozi wa EFF kirefu cha hiki chama nimesahau nikikumbuka nitarudi kukuambia kama kuna mjuzi zaidi ya hapa ruhsa kujazia nyama

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe Zuma ndiyo alimfukuza?
Kamkomalia sana Zuma kwenye kesi zake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
julias malema au( juju ) ni jina la utani alizaliwa 3 march 1981 ni mtoto wa tatu kwa kuzaliwa amehitimu university South africa amelelewa na anc tangu ana miaka minane mpaka 2012 alipofukuzwa na Zuma na hivi sasa ni kiongozi wa EFF kirefu cha hiki chama nimesahau nikikumbuka nitarudi kukuambia kama kuna mjuzi zaidi ya hapa ruhsa kujazia nyama

Sent using Jamii Forums mobile app
EFF= ECONOMIC FREEDOM FIGHTERS
 
Kirefu cha EFF ni Economic Freedom Fighters

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Much, much later," Malema, who admits he avoided Mama Winnie after forming the EFF, told the paper, "I went to explain to Mama. She said: 'Well, you've got my blessings. As long as these two streams [the ANC and EFF] will at some point meet

Alikuwa na uhusiano mzuri sana na Mama Winnie Mandela! Ktk Mazishi ya Winnie Mandela, inasemwa Malema alitoa speech bora kabisa ktk speeches zilizotolewa! Mara zote Malema anamtaja Winnie km "Mama"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shukuran mkuu...

Back
Top Bottom