Baada ya kuona hivi vipande vya video mbili, natamani kumjua zaidi Julius Malema

Achana nae mwehu huyo ndio anahasisha vijana south kuwabonda wageni
wewe ni mwongo mkubwa na inawezekana hata watoto wako utawafundisha kuongea uongo,Mh.Malema amekua mstari wa mbele kupiga vita hizi borders zilizowekwa na wakoloni,amezungumzia mno suala la waafrika kuishi kwa kuheshimiana na kupendana,jumuiya ya wageni hapo SA ina uhusiano mzuri tu na chama cha EFF,MAZINGIRA ANAYO OPERATE mwanasiasa huyu ni tofauti kabisa na hii pithole country yetu,wenzetu wana utawala wa KIKATIBA maana yake Mahakama ya kikatiba ndio mhimili mkuu wa utawala wao ndio maana mawaziri wanaapa kwa jaji sio Rais wa nchi(kulinda katiba sio kuwa kinyogoli wa rais),jitahidi usome ili uelewe na sio kukurupuka na kujibia kitu ambacho una chuki nacho binafsi.
 
huyo mwana ni kichefuchefu wa daraja la kwanzaTanzania hamna mtu wa namna yake na wala hajawahi kutokea....
 
Back
Top Bottom