Baada ya kuona chatting za kunisaliti za mke wangu, Bosi aingiwa na huruma asema Jumatatu nisisafiri ili nimfumanie

mambo magumu haya..mimi ningemtuma mtu akasaidie kufamania nahisi naweza fia hapo nikiona
 
Kwa akili hii rafiki yako ataendelea kukusaidia. Hivi umejiuliza ikiwa huyo msaidizi wako na huyo mkeo hawapo JF? Vipi ikiwa wamesoma huu uzi wako?

BTW ni nini kimekuwasha kuja kupost huku ukijua mission not accomplished

Huyo ni kilaza ndo maana anaibiwa mke anashangaa shangaa sana mpaka mke anaamua kutafta huduma nje
 
Back
Top Bottom