Baada ya kuomba mkopo..

Mkuu nisaidieni, ukishai print hiyo form unatakiwa ufanyeje tena, maana wengne wanasema et inakua kama kumbukumbu zako (reference). Hapo EMS unatuma kwenda wapi mbona nilsikia et HESLB wanatumia data za online? Kiufupi sielewi
Usiombe mkopo mkuu...niamini Mimi Ni graduate
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom