Baada ya kununua nyumba kwa mnada, familia nzima wanaingiliwa kinyume na maumbile 'non stop' kila siku usiku

Sasa hao wachawi nao bure kabisa. Kwanini wasiwaingilie kinyume hao nmb? Hao jamaa kosa lao kununua nyumba?

Kwanza kisheria huyo jamaa ilibidi ajiingilie kinyume ye mwenyewe kama adhabu ya kushindwa kulipa deni la watu. Anaonea watu bure kabisa kwa kosa lake mwenyewe.
aisee wewe. Natamani kuwatag NMB waone comment yako ila naogopa
 
aisee wewe. Natamani kuwatag NMB waone comment yako ila naogopa
kinyani.jpg
 
TANGA :

Kuna jamaa alikopa NMB benki 35mil kwa dhamana ya nyumba yake ili afanye biashara. Bahati mbaya sana biashara ilienda mrama akapata hasara na kufirisika kabisa hivyo kushindwa kurejesha deni NMB.

Baada ya muda wa rejesho kupita , NMB wakatangaza mnada wa ile nyumba ili pesa yao irudi. Mnada ulifanyika na familia moja ikanunua ile nyumba.

Baada tu ya kuingia kwenye ile nyumba kasheshe ikaanza!

Familia nzima wakawa 'wanagongwa non stop' kila siku usiku na mtu wasiyemuona. Si baba , si mama , si watoto wote wakawa 'wanaingiziwa mshipa' kisawa sawa kila siku wakishalala tu.

Na wote wakawa wanagongwa kinyume na maumbile.

Ilibidi wahame bila kupenda na kupata hasara..

Kuna raia ni shida sana.

Walinunua nyumba ya mfiraji
 
Kweli Duniani kuna mambo tembea uone yaani wewe ukipenda una umia? badala ya kuburudika moyo?
Kipindi flani nilishawahi kumpenda mtu kutokana na Avatar yake..yaani nikiona comment yake chupi inaloa...hadi tukawa marafiki kutumiana picha. Loh...kinyago cha mpapure!
Nowadays Avatar hazinisumbui tena.
 
kama huna yesu ... mimi sishangai naona kawaida TU... kwa mimi niguse unate .... ujiji kigoma kuna nyumba kama hiyo ... ila yenyewe mnakula fimbo usiku kucha ...... unasikia fimbo moja inapita shaaaaa! , ukijisahau kidogo shaaaaa!, mpaka asubuhi
Hahahahaha kiboko cha abuja 😂😂😂
 
Kipindi flani nilishawahi kumpenda mtu kutokana na Avatar yake..yaani nikiona comment yake chupi inaloa...hadi tukawa marafiki kutumiana picha. Loh...kinyago cha mpapure!
Nowadays Avatar hazinisumbui tena.
Yaani km mimi na wewe
 
Huwa siamini kabisa Kama haya mambo yapo. Nachukulia Kama hadithi vile
Tembelea Tanga mpwa. Kuna Kijiji nitakupeleka. Hakikisha unakua na mafuta ya mgando standby.
Siku mbili tu utakua huwezi kukaa
 
Back
Top Bottom