Baada ya kununua nyumba kwa mnada, familia nzima wanaingiliwa kinyume na maumbile 'non stop' kila siku usiku

Sasa hao wachawi nao bure kabisa. Kwanini wasiwaingilie kinyume hao nmb? Hao jamaa kosa lao kununua nyumba?

Kwanza kisheria huyo jamaa ilibidi ajiingilie kinyume ye mwenyewe kama adhabu ya kushindwa kulipa deni la watu. Anaonea watu bure kabisa kwa kosa lake mwenyewe.
...huyo mwenye nyumba mjinga tu! Kama ana uwezo wa kutafuta nguvu za giza na kuzituma zikawanyizie walionunua nyumba yake ambao hawana makosa, si angeziomba nguvu hizo za giza zikamsaidia kupata shs Milioni 37 ili nyumba yake isipigwe mnada??
Ndio maana stori hii kama imekaa ki chai chai hivi...bila hata kitumbua cha kushushia!!!
 
Pole mleta mada najua wapo watu wanaona aibu kueleza maswaibu yanayowakuta ila kama na wewe ni sehemu ya hiyo familia ambayo kila uchwao watu wanasimika mzizi ujachelewa njoo kwa tiba ya kurudishiwa marinda!!
 
Unakusudia, au unatangaza bishara?
Pole mleta mada najua wapo watu wanaona aibu kueleza maswaibu yanayowakuta ila kama na wewe ni sehemu ya hiyo familia ambayo kila uchwao watu wanasimika mzizi ujachelewa njoo kwa tiba ya kurudishiwa marinda!!
 
Waliingia bila ulinzi wa Mungu, watu wenye nguvu ya Mungu wasingeshindwa na nguvu za Ibirisi.

Kama ni wa Kristo waende kanisani, waalike Kanisa zima waje wafungue nyumba kwa maombi na chakula kiwepo na vinywaji.
Hasa safari lager za bariiidi
 
Kamata dawa nakupa bure, rahisi sana watu wa Tanga twajua mchezo huu! weka mifupa ya Bundi mzee changanya na kitunguu swaumu, ndimusaba sindano saba mpya, atakuja kuomba samahani huyo!

ukitaka kumkomesha kabisa sababu amekutesa changanya na mavi makavu ya porini alipokunya mtu akasahau, ongeza Mavi ya mbwa mweusi aliyokunya usiku. jinale

Then fukia karibu na mlango wa kuingilia kona 4 za nyumba, adhabu yake atakuwa na mvuto na target ya wachawi na mke wa wachawi milele, popote aendapo Duniani wachawi watamuona yeye kwa matumiz yao, hata akija hapo kwako njiani atakutana na kiringe cha wachawi sababu tayari ana mvuto kwao,

Mbwa mweusi anaona vizuri zaidi gizani, haonekani kirahisi pia gizani, ni rafiki wa wachawi pia, watamfanya vibaya lazima. hii haina tiba, km mbwa mweusi asivoonekana gizani na yeye hataonekana kwa ndg na rafiki ili kumsaidia. atazunguka mpaka atafilisika!
 
Kama ni wa Kristo waende kanisani, waalike Kanisa zima waje wafungue nyumba kwa maombi na chakula kiwepo na vinywaji.
kama ni waislam wachome udi ubani wamuite na jini makata aje kuwasaidia kwa kuongea maneno ya kiarabu chooni ukiwa uchi
 
Kamata dawa nakupa bure, rahisi sana watu wa Tanga twajua mchezo huu! weka mifupa ya Bundi mzee changanya na kitunguu swaumu, ndimusaba sindano saba mpya, atakuja kuomba samahani huyo!

ukitaka kumkomesha kabisa sababu amekutesa changanya na mavi makavu ya porini alipokunya mtu akasahau, ongeza Mavi ya mbwa mweusi aliyokunya usiku. jinale

Then fukia karibu na mlango wa kuingilia kona 4 za nyumba, adhabu yake atakuwa na mvuto na target ya wachawi na mke wa wachawi milele, popote aendapo Duniani wachawi watamuona yeye kwa matumiz yao, hata akija hapo kwako njiani atakutana na kiringe cha wachawi sababu tayari ana mvuto kwao,

Mbwa mweusi anaona vizuri zaidi gizani, haonekani kirahisi pia gizani, ni rafiki wa wachawi pia, watamfanya vibaya lazima. hii haina tiba, km mbwa mweusi asivoonekana gizani na yeye hataonekana kwa ndg na rafiki ili kumsaidia. atazunguka mpaka atafilisika!
Kudadeki 😂😂🤣🤣
 
Kuna nyumba moja ipo Upanga mtaa wa Ali Khan, kama unatokea mataa ya Fire unaenda Muhimbili barabara ya kwanza kulia yaani pembeni ya jengo la fire brigade unaenda nayo then unakata barabara kwa kwanza kushoto kwa mbele kama mita mi na hamsini kushoto kuna mgahawa wa Wahindi unaitwa Texas,sasa nyumba inayotazamana na huo mgahawa, ulizia hapo watu au walinzi wa majengo ya jirani kuhusiana na nyumba hiyo utasikia.

Hiyo nyumba haikaliwi na mtu na hata wewe ukitaka kukaa hapo utapelekwa kwa mwenyewe na sio tu utakaa bure bali ukikubali kukaa hapo wewe ndio utakua unalipwa na mwenye nyumba, ila sasa mkuu ujitayarishe
Kudadeki
 
Huwa siamini kabisa Kama haya mambo yapo. Nachukulia Kama hadithi vile
Kua uyaone. Mlokole wa Imani kali alimwambia raia kwamba hakuna uchawi na haogopi lolote. Alishikwa na mshipa ghafla na maombi hayakusaidia zaidi ya kumtuma mzee wa kanisa kwa Siri kwenda kumwomba radhi.
 
Waliingia bila ulinzi wa Mungu, watu wenye nguvu ya Mungu wasingeshindwa na nguvu za Ibirisi.

Kama ni wa Kristo waende kanisani, waalike Kanisa zima waje wafungue nyumba kwa maombi na chakula kiwepo na vinywaji.
Kuna mtu alikuwa akilala ndani ya nyumba yake ilikuwa ikitikisika kama vile kuna tetemeko la ardhi. Akaalika majeshi ya kiroho. Kanisa zima likapiga maombi pale nyumbani. Ghafla akaingia bundi akawatazama haogopi halafu akaondoka. Na tatizo halikwisha.
 
Kwa nini hii dawa isifanywe ili Magufuli,Mkapa na Sumaye waingiliwe hadi warudishe nyumba za Serikali?Mwenye nyumba ni nani atusaidie hii dawa tafadhali.
Hivi kuwa kwenye nafasi ya urais unaenda tu kama msalani!
 
Kwa sehemu kubwa huwa ni hadithi tu zinazopambwa kwa maneno mazuri ya mtaani.
Mkuu uko sahihi, na wala hutajua haya mambo sababu huna nyota ya mafanikio hapa Duniani nyie ni wasindikizaji tu!! sometimes hta shetani sijui kma anakutambua !! yaani haumtishi kwa lolote lkn kuna watu nyota zao zinamuwasha shetani mpaka anakoma!

ni sawa na Matonya kwa jiwe! na Lisu kwa Jiwe unadhani nani ni tishio kwa Jiwe?

kwa akili hizi zako utasema Matonya ni tishio kwa jiwe??? kwanza hata matonya anajua nchi bado ni ya Nyerere bado!! hajawahi kuwazia kuwa Magogoni au Dodoma ndo penyewe sasa ataanzia wapi??
 
Back
Top Bottom