Baada ya kungojea sanaaa hatimae 2 marriage proposals at par!!!! Maamuzi magumu yahitajika!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baada ya kungojea sanaaa hatimae 2 marriage proposals at par!!!! Maamuzi magumu yahitajika!!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by lara 1, Oct 12, 2012.

 1. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #1
  Oct 12, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,122
  Trophy Points: 280
  Amani iwe kwenu wadau!!!!! (Wakubwa zangu shikamooni japo mwaitikia kimya kimya)

  Leo bwana naleta MADA VERY SERIOUS!!! NAOMBENI NA NYIE USERIOUS WENU SABABU SOMEBODYS FUTURE HAPPINESS DEPENDS ON IT!!!!!

  Hii sio stori, ni real life kabisa!!!!!! Ukicoment kumbuka somebodys feelings are involved!!!

  Kuna dada mmoja, rafiki yangu si sana ila tunaelewana, na tumesoma wote! Kwa ufupi huyu dada ni Msabato SAFIIII! Hana kona kona hata kidogo,pamoja na JISHEPU lake, Masogange haoni ndani! mcha Mungu sanaaa (ananiombeaga hata mie!! LOL!) mpole sana, wala si msemaji hata kidogo (Alikuwa mwokozi wetu wa kufanya miassigment yote mwenyewe bila kulalamika). Katika watu wa chache wa duniani ninao expect huenda wakaiona MBINGU mmoja wapo ni huyu binti! VERY WIFE MATERIAL!!!! LOL!

  Pamoja na kukaa sana na sie WAZEE WA AK 47!!! LOL! Hakubadilika hata kidogoo! Na mda wote nimemjua tokea 1st year alikuwa na mtu wake mmoja tu MJEDA!!! Sasa Mjeda ALIAHIDI KUMUOA MAMBO YAKIKAA VIZURI! Na hiyo ahadi aliitoa 1st year. Wanapendana sana kwakweli, ila kwa mtizamo wangu Mjeda anamfuja dada wa watu, manake ndio hata kama maisha hayako poa, HAMPAGI HATA MIAAA! CHEZEA WAJEDA WEYE!!!! Hata akimuomba hapewi, ila katika malovee mengine yuko poa, full masimu,sms,kutembeleana n.k Tatizo NDO HUO UBAHILI KUPITILIZA. Wamekaa na Mjeda 4 years, bado ANAKUMBUSHIA AHADI YA NDOA ILA NDO HASEMI LINI!!!!! ANABAKIA ANY TIME T!!!!! Haya kalipe basi MAHARI, wapiii! ila kiukweli maisha ya Mjeda hayapo vizuri, sababu ANA MKOPO WA KUJISOMESHA hivo mshahara unakatwa sanaaa, alafu familia na ukoo vyote vinamuangalia yeye kama tumaini lao. Na Bi dada hajapata Kazi bado!!!

  Sasa mwaka huu mwanzoni, kwenye Kongamano, bi dada kakutana na MPENDWA mwengine, huyu anafanya kazi serikalini, na kamzidi kidogo angalau 5 YRS, alafu anamjali sana, MPAKA KAMTAFUTIA MASTERS ASIKAE NYUMBANI na Degree yake, anamlipia full! Hela ya losheni si haba anapewa, yaani chopping is not an issue! (Ndo nayopenda mie hayaa!) Sasa huyuMr. Gvt ANATAKA KUTOA POSA ASP ACHUKUE MZIGO JUMLA JUMLA! Anachongojea ni GO AHEAD TUUU! ya bidada.

  Nyie wana JF hapa ndo mnaingia kwenye picha! Mi sijashauri sababu ushauri wangu ni BIASED unaendekeza BRIGHT FUTURE TO BE INVOLVED!!! LOL!!! Japo smtms you have to think outside the box! Bi dada BIOLOGICAL CLOCK INAGONGAAAA! Alafu wanaume wenyewe waoaji ni wakutafuta kwa manati. Dilemma yake ni kuwa Mjeda huenda alishaamua hamuoi wala nini, 4YRS hakijaeleweka!!!! Akibugi step akamngoja ITAKULA KWAKE!!! Au mjeda mambo yake hayajakaa poa, yakikaa poa atamuoa. Je huyu mbaba mbona anawahi kumuoa? Je akiolewa na Mr. GVT ataweza msahau Mjedaaaa!

  TOENI USHAURI TULE HARUSI WENZENU!!!!!! LOL!
   
 2. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #2
  Oct 12, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  kha wanawake kweli wapenda sana hela na mastarehe...huna hela hupati bupa...so unataka kisema huyo dada amekuwa anamegwa na hao jamaa wawili at the same tym? nijibu hilo ndio nitakuja na ushauri
   
 3. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #3
  Oct 12, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,227
  Trophy Points: 280
  ndoa hupangwa na Mungu, kama aliomba ndo kapewa......mwambie aolewa....bwana bahili inahuu(kidunia dunia).....

  Halafu unajua wanawake matatizo mengine mnajitakia......unakaa na mtu miaka 4 hakujali anapata utamu tu na kusema unadhani atakujali akikuoa?

  Hebu mwabie huyo bi dada ukishikwa shikamana, kama anaona huyo m-gvt ni husband material, kama akijiona kuwa nae miaka kumi mbele..... Aolewe watu wale wali mchafu.....(kadi ya mwaliko plz)
   
 4. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #4
  Oct 12, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  bibie lara 1 mwambie akamate mr. Govt huyo mjeda hana ishu, atamla yeye?pesa inahusika shosti kwny mapenz asikudanganye m2
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #5
  Oct 12, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,122
  Trophy Points: 280
  Taratiiiibu!! NDO MAANA NIMESEMA WASBATO SAFIIII!!! HAWAMEGANI MPAKA NDOA!!!! (May be kisirisiri ila sidhaniii! I give them the benift of the doubt) We hayo ya KUMEGANA WAACHIE WENYEWE, Wee iangalie hivi, UNA MTU 4 YRS HAKUOI WALA KUTOA POSA!! ANATOKEA MTU YUPO SERIOUS NA WEWE, UTACHUKUA UAMUZI GANI NA WHY?
   
 6. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #6
  Oct 12, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  bibie lara 1 mwambie akamate mr. Govt huyo mjeda hana ishu, atamla yeye?pesa inahusika shosti kwny mapenz asikudanganye m2
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #7
  Oct 12, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,122
  Trophy Points: 280
  Hahahaaaaa! Sio pesa tu (japo sabuni ya roho) ila COME ON 4YRS MAISHA HAJANYOOKA HAKIJAELEWEKA!!!!!! Ila dunia ilivo mbayaaa hii ukimtema tu MJEDA ANAPEWAJE MINYOTA FASTA FASTA! ALAFU UNABAKI UKISONYA KIMYA KIMYA!!!! SITUATION NI TRICKY SANA!
   
 8. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #8
  Oct 12, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  kumegana muhimi becoz shows wether she wife material or not. aactually mere fact that she wuld let herself last 4 yers without marriage means she cheap.

  so wat she needs to do ni kuyulizana make sure she ready to be a wife. so my advice potezea wote wawili.
   
 9. MKATA KIU

  MKATA KIU JF-Expert Member

  #9
  Oct 12, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,167
  Likes Received: 966
  Trophy Points: 280
  Wadada ni wabaya sana kwenyr hilo,, nina kamanda wangu alishalizwa vibaya sana,, malavidavi ya kufa mtu college but baada ya kumaliza tu soko la ajira halikusoma pande zote.. So mwana hawez ku propose au malengo yeyote as salio halikulusu, sasa kuna mdau alibakizwa tutorial chuo nae alishafukuzia sana mdada akatake advantage kwa nguvu mpya ile demu anakubali tu matukio yaliunganishwa haraka haraka mara kitchen party, send of then harusi jamaa kabaki katoa macho tu,,,

  Yaani misunderstanding ndogo tu ya miezi mitatu anaenda kuomba msamaha anapigwa na kadi ya send of ya mwaliko watu weweee.. Jamaa alidata hadi leo hayupo sawa...
   
 10. Fyong'oxi

  Fyong'oxi JF-Expert Member

  #10
  Oct 12, 2012
  Joined: Sep 13, 2012
  Messages: 267
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  Hapo kwenye red! imekuwaje tena mwanakondoo huyohuyo akabadilika na kuwa Double dealer?? Kama ni mtu wa dini mimi nashauri amuombe mungu zaidi amuondolee mitihani. Maana akiolewa na Mr GVT (kisa uwezo) factor zingine zinaweza kumkwaza baadae kwenye ndoa yao kwasababu hana expirience naye ya kutosha, kwa upande mwingine amchunguze sana huyo Mjeda ili ajue hatima yake before too late!ili aweze kufanya maamuzi productive!
   
 11. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #11
  Oct 12, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  hakuna hata mmoja anayemfaa hapo.

  Mwanamme anayemfaa mwanamke kuwa mume atamtambua tu, sidhani kama huwa kuna kusita au kuchanganyikiwa.

  Ale maisha akatafute mme kwingineee.
   
 12. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #12
  Oct 12, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,122
  Trophy Points: 280
  Tatizo anaweza kungojea ALAFU AKALAMBA JOKERI GAME IKAWA OVER!!!! Huku mtu anataka kupeleka posaa, wanaume walivo wa mawazo hawa wakiduni, hao wapendwa ndo kabisaaa, ukizubaa unaweza jikuta single and un married!!! au married and unhappy!! LOL!
   
 13. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #13
  Oct 12, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,122
  Trophy Points: 280
  Hahahaaaa! Zama hizi za KUJILENGESHA VITUMBO hii principle yako inaaply!!!! LOL! Unamtambuaje nijuze na mie NISIJE KUSHINDWA KUMTAMBUA NIKAMRINGIA!!! LOL!
   
 14. client3

  client3 JF-Expert Member

  #14
  Oct 12, 2012
  Joined: Aug 6, 2007
  Messages: 742
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  mbona ulisema ni two proposals mie naona moja tu.....au kichwa yangu mbaya??
   
 15. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #15
  Oct 12, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,122
  Trophy Points: 280
  Hili ndo tatizo, Mjeda ukiacha UBAHILI KUPITILIZAAA HANA NENO, ila ukute anamdanganya tuu, atajuaje kuwa mjeda anadanganyaaa? Na huyu Gvt yeye ameshatngaza nia kuwa ni KUWOWA si KUJIBURUDISHA hivo anataka msimamo wa kueleweka.
   
 16. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #16
  Oct 12, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,122
  Trophy Points: 280
  2 Ofcourse sababu ya MJEDA TOKA 1st YEAR NA ANAIKUMBUSHIA DAILY!!! (PINDI MAMBO YAKE YAKINYOOKA! LOL!) HII INGINE NDO YA MWAKA HUUU!
   
 17. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #17
  Oct 12, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  bibie afanye maamuz la kama anataka kuwait another 4years ni uamuzi wake,swala la kufanikiwa baadaye kila mja ana path yake,kwan wakat mjeda akipata nyota yeye maisha yake yatakuwa stagnant? Tena ana carrier yake mwanamke kujiamin unless hata ndoto zozote katika maisha yake!wanaume wenyewe waoaji wachache so akil kumkichwa
   
 18. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #18
  Oct 12, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  alafu naona i need to say this maana naona wanawake hamlijui ama u just turn a blind eye to it.
  mwanaume anayetaka kuoa kweli hawezi kukuweka pendi zaidi ya miaka miwili.....sasa wewe unakaa miaka minne inakuwaje? better count ur losses early
   
 19. dri ma

  dri ma Senior Member

  #19
  Oct 12, 2012
  Joined: Aug 5, 2012
  Messages: 106
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ucdanganye wnzio hapa nna anko wangu aliweza kukaa in relationship 4 9yrs ndo akaoa na ant mwnyew anashuhudiaga hi ki2 kwmba almanusura akate tamaa bt now she z proud 2 b married na m2 anayeeleweka. Kw ushaur hyo dada ackurupuke coz cku zote mwnaume anayetangaza ndoa ndan ya mda mfup w mahucano lazma ana madhaifu flan ambayo anaamin akikaa na ww kw mda mref utash2ka pia mjeda co kwmba hana nia labda anapma n jinc gan huyo dada ana uwezo w kumvumilia hata akikaa juu ya mawe so awe mpole apembenue mambo
   
 20. kalou

  kalou JF-Expert Member

  #20
  Oct 12, 2012
  Joined: Aug 22, 2009
  Messages: 4,369
  Likes Received: 994
  Trophy Points: 280
  Narusha sh mia juu,ikiangukia kichwa amkubali mr.govt ,ikiangukia mnyama amsubiri mjedaa..haya ngoja nirushe..
  .
  .
  .
  imedondokea kichwa ..dah hizi hela za siku hizi zinapenda sana hela
   
Loading...