Baada ya kumtangaza wa CCM ameshinda Babati Mjini; Kura zinarudiwa kuhesabiwa UPYA! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baada ya kumtangaza wa CCM ameshinda Babati Mjini; Kura zinarudiwa kuhesabiwa UPYA!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Bantugbro, Nov 2, 2010.

 1. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #1
  Nov 2, 2010
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,682
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Kwa mujibu wa matangazo ya Radio one kura za ubunge, urais na udiwa ni Babati mjini zinahesabiwa upya....
   
 2. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #2
  Nov 2, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Upuuuzi mtupu,

  Kura zimekaa bila walinzi kwa zaidi ya masaa 24 na sasa zinarudiwa kuhesabiwa?

  Are you kidding me?
   
 3. N

  Njaare JF-Expert Member

  #3
  Nov 2, 2010
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 1,075
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Zikihesabiwa kwa umakini Chambiri hawezishinda. Jamaa alikataliwa kwao Tarime.
   
 4. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #4
  Nov 2, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  mmmmh,nadhani hoja ya mwafrika ina ukweli maana sasa watakua wame chakachua vibaya kweli kweli,

  Kwani tofauti ilikuaje mwanzo?
   
 5. GFM

  GFM JF-Expert Member

  #5
  Nov 2, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 708
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nakubaliana na wewe. wameshafanyizi, hapo tutaonekana wajinga tu :A S angry:
   
 6. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #6
  Nov 2, 2010
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,682
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160

  Mi naona ni sahihi kabisa kurudia! kinachofanyika ni kuhakiki na kuhakikisha zina-tally, maana orodha za waliopiga kura zipo kitio kwa kituo, na matokeo yalisha bandikwa kwenye vituo sasa kama zipo zilizoongezwa (CHAKACHULIWA) msimamizi atawaeleza wana-BABATI zimetoka wapi.

  Kumbuka Mh. Zitto amepigwa mabomu kwa sababu jamaa hawataki kurudia kuhakiki za kule Kigoma Mjini wakiogopa hazita-tally na matokeo halisi ya kwenye vituo.
   
Loading...