Soma jibu langu usicho kielewa ni niniBy the way,
Kwani Zika ilikuwa haipo?
Soma jibu langu usicho kielewa ni niniBy the way,
Kwani Zika ilikuwa haipo?
Wasiovuta sigara na kunywa pombe kwa kuogopa madhara yake wana haki ya kuogopa madhara ya chanjo?Unakunywa pombe kila siku hujachunguza madhara ya pombe.
Unavuta sigara kila siku, hujachunguza madhara ya sigara.
Unapasha chakula kwenye microwave kila siku- huna wahi kuchunguza athari za mionzi.
Unapigwa na jua kila siku- hujachunguza madhara ya mionzi ya jua kwenye ngozi.
Unavuta polluted air kila siku
Condom hujui hata bei yake.
Hii fungulia thread yake.ZIKA iliishia wapi?
Unakunywa pombe kila siku hujachunguza madhara ya pombe.
Unavuta sigara kila siku, hujachunguza madhara ya sigara.
Unapasha chakula kwenye microwave kila siku- huna wahi kuchunguza athari za mionzi.
Unapigwa na jua kila siku- hujachunguza madhara ya mionzi ya jua kwenye ngozi.
Unavuta polluted air kila siku
Condom hujui hata bei yake.
ZIKA iliishia wapi?
Wewe una tofauti gani na aliyesema papai lina corona!Ndugu yangu !!Afya yako ni muhimu sana.Ili jambo jambo halihitaji kukurupuka.Kwa sasa tuna bahati sana.Habari zote zipo Kiganjani mwetu.Sawa umemsikia Dr Malechela.
Lakin pia umesikia taarifa za huko USA jana ijumaa?Asilimia 75 ya waliochoma chanjo wanaumwa Covid serious. CDC imesema kati ya hao wengine walichoma chanjo mbili.Huu muda watanzania tujitahid kusoma taarifa Mara kwa Mara.Sio kama zamani tulivyodanganywa.
😂😂😂Kasemaje??
Kama ni mtaalamu na ana IQ kubwa si atengeneze chanjo yeye mwenyewe!
Nimekuambia ana kundi kubwa la wajinga!! Kwahiyo kama kuwa na kundi kubwa la wajinga ni suala la kujivunia, then the answer is YES, Magu ana wafuasi wengi ambao majority ni wajinga watakaokubali kila wanachoambiwa!!Kwa hiyo mwenda zake ana wafuasi wengi sana kwa mimilioni hapa tz tofauti na mlivyokuwa mnasema kwamba anachukiwa sana?
Halafu Mkuu TUJITEGEMEE... jana kama niliona notification ya post yako kwangu, lakini ghafla tu nikaona imepoteakabla sijajibu ! What happened?!You appropriately nailed it . Bravo!!!
Ok.Nimekuambia ana kundi kubwa la wajinga!! Kwahiyo kama kuwa na kundi kubwa la wajinga ni suala la kujivunia, then the answer is YES, Magu ana wafuasi wengi ambao majority ni wajinga watakaokubali kila wanachoambiwa!!
Na hili kundi kubwa la wajinga ndio mtaji mkuu wa CCM... hili mbona lipo wazi muda mrefu tu?!
Kama nilivyosema mara kadhaa... tatizo lenu source yenu ya habari ni Internet Hoax pamoja na Gwajima, na matokeo yake hamjui what's going on in a real world!!Ok.
Sasa kundi la werevu mko wapi mkamalize hizo dozi milioni 1 chap?
Ina maana werevu hapa tz hawazidi hata milioni 1 katika watu milioni 60?
Basi mwenda zake ana kundi kubwa sana!
Kwa hiyo nyie werevu kesho mtakimbilia na kuimaliza chap?Kama nilivyosema mara kadhaa... tatizo lenu source yenu ya habari ni Internet Hoax pamoja na Gwajima, na matokeo yake hamjui what's going on in a real world!!
What's going on in a real world, ni hiki hapa:-
View attachment 1876705
Sasa hiyo sarcastic argument uliyoanza kuitoa tangu janahuku mwenyewe ukihisi ni bonge la hoja hivi unaamini ina mashiko kweli wakati chanjo yenyewe haijaanza kutolewa kwa public?
Kwa mtindo huu, una haki zako za kuwa Mfuasi wa Gwajima...Kwa hiyo nyie werevu kesho mtakimbilia na kuimaliza chap?
Wengi wetu hatuna utamaduni wa kufatilia habari na mambo ya msingi.
Mwaka 2015 Wizara ya Afya ya Tz ilitutahadharisha kuhusu kirusi cha Corona kilochokuwa kimeshambulia Asia mwaka 2014. SOMA HAPA.
Na hapa JF taarifa ililetwa. Coronavirus disease: Mnaujua huu ugonjwa? SOMA HAPA
Mwaka 2013 Wizara ya Afya ilishatutaka tujihadhari na kirusi cha Corona kilichoshambulia Asia mwaka 2012
Taarifa ya wizara hii hapa. SOMA HAPA
Mwaka 2002 ugonjwa wa Corona ulipiga Asia hasa China. SOMA HAPA
Mkuu, ugonjwa ulikuwepo hata kabla ya hizo hotuba. Hata Wizara ya Afya ya Tanzania ilikuwa na taarifa hizo.
Mkuu nakubaliana na sehemu ya mwanzo ya hii post yako ya mwisho kwamba Sars cov2 kiliibuka 2019 na kusababisha ugonjwa huu wa covid 19 tunaohangaika nao leo hii.(covid inayosababishwa na sars cov2 haikuwepo before 2019).Kwanza mkuu hakuna kirusi kinachoitwa Covid kama ulivyokitaja. Najua umepitiwa kidogo. Kirusi cha sasa kinaitwa SARS-CoV-2 kilichoibuka mwaka 2019, kinafanana kwa 86% na SARS-CoV-1 kilichoibukia China mwaka 2002.
Familia ya virusi vya Corona inafanana sana. Vipo vinavyofanana hadi kwa 96% mfano hiki kinachosumbua sasa SARS-Cov-2 na RaTG13. So, study iliyoanza mwaka 2003 ingeweza kutoa dira hata kwa SARS-COV-2 na jamii nyingine ya Corona Virus.
Weka source inayosema “asilimia 75 ya waliochoma chanjo wanaumwa COVID serious”.Ndugu yangu !!Afya yako ni muhimu sana.Ili jambo jambo halihitaji kukurupuka.Kwa sasa tuna bahati sana.Habari zote zipo Kiganjani mwetu.Sawa umemsikia Dr Malechela.
Lakin pia umesikia taarifa za huko USA jana ijumaa?Asilimia 75 ya waliochoma chanjo wanaumwa Covid serious. CDC imesema kati ya hao wengine walichoma chanjo mbili.Huu muda watanzania tujitahid kusoma taarifa Mara kwa Mara.Sio kama zamani tulivyodanganywa.
Si kweli,,wamarekani 250,wamechanja haiwezekani asilimia 75% wakawa serious illNdugu yangu !!Afya yako ni muhimu sana.Ili jambo jambo halihitaji kukurupuka.Kwa sasa tuna bahati sana.Habari zote zipo Kiganjani mwetu.Sawa umemsikia Dr Malechela.
Lakin pia umesikia taarifa za huko USA jana ijumaa?Asilimia 75 ya waliochoma chanjo wanaumwa Covid serious. CDC imesema kati ya hao wengine walichoma chanjo mbili.Huu muda watanzania tujitahid kusoma taarifa Mara kwa Mara.Sio kama zamani tulivyodanganywa.
Lini walijibu hoja zake hiyo ubayesema alikuwa anaropoka tu? Muacheni Magu kitabu chake kilishafungwa.Wewe unaonekana una akili za kimwendazake, baada ya kuweka hapa hiyo taarifa. Au unataka nani aisambaze ili watu wengine uwaokoe. Maana hata yule marehemu alikuwa anaropoka mapovu bila kuwa na evidence.
Wahuni mtaumbuka tu!Hii fungulia thread yake.