mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,663
- 18,036
Gentamycin soma post hii na link hii ikunasue na waliopata kitu kidogo ili wasaidie kuwaingiza mkenge watanzania! Kwa mtanzania aliyeko Marekani hana namna ya kukwepa chanjo liwalo na liwe!! Pole yenu ( Sina uhakika kama Seche Malechela ndiye Mwele Malechela niliyesoma naye genetics pale UDSM na kina Yunus Mgaya, halafu wanajitoa kabisa ufahamu na kuanza kusema vitu vya uongo eti hakuna kinachoingizwa kwenye DNA wakati DNA ndiyo target ya message iliyobebwa na mRNA! Vinginevyo waseme protein synthesis haitafanyika wakati ndio lengo lenyewe!! Nitafarijika kidogo kama huyo Seche siyo Mwele!Huyu Seche Malecela kwa makusudi kabisa ameamua kupotosha. Kwa makusudi ameamua kutokuongelea hoja za msingi na kujikita zaici kutetea kwa nini chanjo ya corona imepatikana haraka!!
Kwa kifupi amesema ni kwa kwa kuwa corona inafanana na virusi vingine vya Sars ambavyo utafiti wake ulikuwa tayari umefanyika. Pamoja na hayo ni stage moja tu ya exploratory ndiyo ingekuwa imefanyika. Lakini pre-clinical testing ya angalau miaka miwili ilikuwa bado, pia clinical testing ya miaka angalau 4 ilikuwa bado nk. Kwa vyovyote vile hakuna chanjo ya kuchukua miezi tu kukamilika!
Lakini mbaya zaidi sayansi ya chanjo yenyewe ameipotosha nadhani ni kwa makusudi!! Kwa makusudi amekwepa neno messenger RNA ( mRNA). Ni kweli haingizwi mdudu mwilini lakini inaingizwa mRNA. mRNA hupeleka message kwenye vinasaba (DNA) ambavyo ndio huhusika na utengenezaji wa protein kwa mujibu wa message iliyoingizwa kwenye seli kupitia hiyo mRNA!! Anadai hakuna kitu kinachoingizwa kwenye DNA huo ni uongo!! Kinachoingizwa kwenye DNA kipo, ni hiyo message iliyobebwa na DNA. Katika harakati za DNA kufanyia kazi message iliyopelekwa kwenye DNA kuna uwezekano wa mutation kutokea! Ikitokea hiyo mutation itaambukiza vizazi vyote vijavyo na hakuna namna ya kurekebisha!! Hiyo ni genetic manipulation kama wafanyavyo kwenye mimea!!
Lakini kingjne ambacho mwele amekikwepa kwa makusudi ni chanjo yenyewe kukosa sifa za chanjo kama zilivyo chanjo zingine!! Chanjo ya ya corona hakukingi na maambukizi mapya, haikuepushi kuwaambukiza wengine, na pia haikusaidii kutokuugua kiasi cha kulazwa hospitalini. Mbaya zaidi kwa taarifa za sasa kabisa toka CDC huko marekani ni kwa asilimia 80 ya wagonjwa waliolazwa walishakamilisha chanjo ya corona!! Hizi ni data mpya zimetoka leo!! Dr Mwele kama wewe umechanjwa pole sisi hatudanganyiki!! Wewe kwa sasa unaishi kwa fadhila za mabeberu huna namna nyingine isipokuwa kutumiwa na mabeberu kwa manufaa yao!! Kwa faida yako soma link hii toka ughaibuni huko huko unakoishi! Namba hazidanganyi