johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,529
- 141,325
Ni angalizo tu kwa ACT Wazalendo kwamba ni heri wasimame peke yao kuliko kutengeneza UKAWA ndogo na CHADEMA na hasa baada ya kumsajili Membe
Julius Mtatiro mwaka 2015 alikoseshwa ubunge na CHADEMA kwa makusudi kabisa na hili maalim Seif analielewa vizuri.
ACT wazalendo simameni kwa miguu yenu hawa CHADEMA ni vigeugeu sana.
Maendeleo hayana vyama