Azizi Mussa
JF-Expert Member
- May 9, 2012
- 9,188
- 7,490
Binafsi namshukuru sana Mungu kwa JPM kuwa Rais wa nchi hii, sijui ingekuwaje kama muhimili {wa uadilifu} aliokuwa anauongoza JPM ungeangushwa ? Any way angalau sasa mhimili wa uadilifu umeshinda lakini tatizo lililobakia ni support ya mtu mmoja mmoja kulingana na sehemu alipo.
Shida ni kwamba hii jamii tuliyonayo ishakuwa corrupt karibu yote. Hivyo kuna baadhi ya watu }wengi tu}ambao walitakiwa kumsaidia JPM ili kuleta mabadiliko ya kweli lakini hawafanyi hivyo na kundi hilo ni kubwa bado. Kwa mfano hebu wewe hapo ulipo jiulize umesaidia nini ili kuhakikisha kuwa mhimili huu wa uadilifu chini ya JPM unaimarika na kufikia lengo?