Baada ya kumjua Kocha Mkuu wa Ruvu Shooting FC inayocheza na Yanga SC leo Jioni kuna haja ya Kusubiria Matokeo?

Naona leo mnafikisha Alama 15 Kiulaini kabisa Watani. Hongereni na hivi Kocha wao Mkuu Wapinzani wenu ni Yanga SC wa Kufa Mtu.
Hiyo haijalishi, mbona Coast Ni tawi lenu lakini wamewanyima point kwa Mkapa pamoja na mchezaji wao kutolewa mapema kwa red card
 
Wewe mbona akili huna, yaani kocha anaweza akawambia wachezaji wake kwamba chezeni hovyo ili mfungwe!

Je, ni wachezaji gani wanaweza kukubaliana na ujinga kama huo, halafu kisha mechi nyingine anawambia chezeni kwa bidii ili tushinde. Hakuna kocha kama huyo dunia nzima, wewe acha mambo ya kipumbavu.
Ni mightier huyo hajawahigi kuwa Na akili
 
85% ya Maisha yake akitokea Kwake Mbweni kuja Mjini huku Kushinda muda Wote utamkuta amekaa na Watu tena Matajiri wa Timu ambayo leo anacheza nao Saa 12 na Robo Jioni pale Temeke Mkapa Stadium.
Ni kweli. Mkwasa hajawahi kushinda mechi yoyote dhidi ya Uto tangu aanze ukocha miaka 20+ iliyopita
 
Back
Top Bottom