F100 Maziwa Mazito
JF-Expert Member
- Jul 31, 2020
- 209
- 374
Strike back, M16, section 20Man down
I repeat Man down
Team Alfa we need Air support
Do you copy
Team Alfa
Man down
Strike back, M16, section 20Man down
I repeat Man down
Team Alfa we need Air support
Do you copy
Team Alfa
Man down
absolutelyStrike back, M16, section 20
Daah hii movies Ina secrets nyingi za kivita na magomvi ya nchi zetuabsolutely
Tafuta penzi jipya msahau Usonge mbele wanawake wapo wengi tuNilimkuta akiwa ana stress za maisha baada ya kumaliza masomo yake katika chuo fulani. Nilimshika mkono, nikamfuta machozi kisha nikampenda na nikamfundisha kunipenda, nikaishi nae kwa zaidi ya miez kumi. sikuhitaji kumuona akiwa katika msongo wa mawazo bali nilitafiti nikagundua shauku yake ilikuwa ni kupata kazi au biashara ainue familia yake na ajenge mustakabali wa maisha yake.
Niliamini katika falsafa ya ushirikiano katika kujenga mustakabali wetu kwani kila mara alionyesha kuwa mimi ni chagua sahihi kwa kauli na matendo. Nilipambana kwa hali na Mali kwa kipato changu cha kawaida na hii exposure ndogo mpaka nikafanikiwa akapata kazi kwenye shirika moja la miradi ya afya hapa nchini akaenda kufanya kazi nje ya mkoa niliopo mimi.
Wiki mbili baada tu ya kuajiriwa alibadilika sana alibadilika sana, ninaweza kumpigia simu nakuta yuko busy kuanzia saa tano mpaka saa saba usiku na anaona simu yangu inaingia hapokei na akimaliza kuongea hanitafuti hata nikimuulza hatak kusema anaongea na nani, akaenda mbali zaid ukimtumia sms anakujib kwa mkato na ikafikia hatua hataki kunitafuta na nikimtafuta hapokei simu.
Nimewahi kwenda huko anakofanyia kazi nimekaa siku tatu yaani muda wote hajiamini na hawez kutoka nje akaongozana na mm. Dharau na kiburi ndio umekuwa mtindo wa maisha yake. Naishia kuitwa mshamba kwa kumfatilia eti nijiamini. Kifupi nimejitoa kwa mengi nikijua huyu atakuwa mke wangu halaf amekuja kunibadilikia ghafla, inauma sana na Niko katika wakati mgumu sana ukizingatia niko naandika tasnifu yangu niweze kumaliza shahada yangu ya uzamili lakini nashindwa hata kusimamia biashara zangu zinanishinda.
Nabaki muda wote ndani nimejifungia tu roho inaniuma sana kila nikiwaza mawazo yangu yananipeleka mbali zaidi ya jinsi ambavyo siwez kuelezea, nimepitia changamoto nyingi katika maisha yangu lakin hili naona linanizidi.. ndugu zangu naona kabisa jahazi linazama.
Mwenye ushauri mzuri utakaonisaidia na kunitoa ktk hii hali naomba aje PM au hapa hadharani anishauri. Jf naona ndio second home yangu naamini ndugu zangu wenye busara zaidi mtanisaidia.
Mamaee😂😂😂😂Atakuwa ni mpenzi wako wa kwanza huyo.
Ukipata mwingine akakupiga tukio kama hilo tena ndo utakuwa umefuzu.
Utakuwa sawa muda si mrefu, ila ukiendelea na ujinga wako wa kukaa ndani utachelewa kuwa sawa.
HaswaaaaaAkikuelewa hapa basi inatosha.
Tenda wema nenda zako usingoje fadhila.
Fadhila mfadhili mbuzi binadamu hutomweza ,mbuzi utamla nyama ,mchuzi na supu.
Unajipa stress komaa malizia tasnifu yako focus kwenye mitikasi yako .
Usiwaendekeze Hawa viumbe kachapiwa nikki wa pili wistaz utakuwa wewe
Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
Bro kupenda hakuna thamani Tena.Nilimkuta akiwa ana stress za maisha baada ya kumaliza masomo yake katika chuo fulani. Nilimshika mkono, nikamfuta machozi kisha nikampenda na nikamfundisha kunipenda, nikaishi nae kwa zaidi ya miez kumi. sikuhitaji kumuona akiwa katika msongo wa mawazo bali nilitafiti nikagundua shauku yake ilikuwa ni kupata kazi au biashara ainue familia yake na ajenge mustakabali wa maisha yake.
Niliamini katika falsafa ya ushirikiano katika kujenga mustakabali wetu kwani kila mara alionyesha kuwa mimi ni chagua sahihi kwa kauli na matendo. Nilipambana kwa hali na Mali kwa kipato changu cha kawaida na hii exposure ndogo mpaka nikafanikiwa akapata kazi kwenye shirika moja la miradi ya afya hapa nchini akaenda kufanya kazi nje ya mkoa niliopo mimi.
Wiki mbili baada tu ya kuajiriwa alibadilika sana alibadilika sana, ninaweza kumpigia simu nakuta yuko busy kuanzia saa tano mpaka saa saba usiku na anaona simu yangu inaingia hapokei na akimaliza kuongea hanitafuti hata nikimuulza hatak kusema anaongea na nani, akaenda mbali zaid ukimtumia sms anakujib kwa mkato na ikafikia hatua hataki kunitafuta na nikimtafuta hapokei simu.
Nimewahi kwenda huko anakofanyia kazi nimekaa siku tatu yaani muda wote hajiamini na hawez kutoka nje akaongozana na mm. Dharau na kiburi ndio umekuwa mtindo wa maisha yake. Naishia kuitwa mshamba kwa kumfatilia eti nijiamini. Kifupi nimejitoa kwa mengi nikijua huyu atakuwa mke wangu halaf amekuja kunibadilikia ghafla, inauma sana na Niko katika wakati mgumu sana ukizingatia niko naandika tasnifu yangu niweze kumaliza shahada yangu ya uzamili lakini nashindwa hata kusimamia biashara zangu zinanishinda.
Nabaki muda wote ndani nimejifungia tu roho inaniuma sana kila nikiwaza mawazo yangu yananipeleka mbali zaidi ya jinsi ambavyo siwez kuelezea, nimepitia changamoto nyingi katika maisha yangu lakin hili naona linanizidi.. ndugu zangu naona kabisa jahazi linazama.
Mwenye ushauri mzuri utakaonisaidia na kunitoa ktk hii hali naomba aje PM au hapa hadharani anishauri. Jf naona ndio second home yangu naamini ndugu zangu wenye busara zaidi mtanisaidia.
Na usisahau kumwambia, wanawake wa siku hizii HAWAPENDEKI.Kama ni wa kwako atarudi, kama si wa kwako potezea. Na sio ndo ukae umsubiri. Fanya maisha yako jomba. Muache ajifunze na aone hayo anayoyafanya ni ya kawaida sana. Kama yana umuhimu kwake ataendelea nayo. Akiona wewe una umuhimu kwake atarudi.
My name is John I'm from special forces British intelligence Military...Strike back, M16, section 20
Yaani uache kusimamia biashara Kwa kuwaza hiko kimcharuko?..
Seriously?...
Unatakiwa umshukuru Mungu umeona rangi zake mapema sana...asije kukusumbua huku ushazaa nae na ushamuoa
Mkuu kwani kila wazaz wana uwezo kweli wa kuwatafutia Kaz watoto wao ?Kila siku tunawaambia mwanamke hasomeshwi wala kumtafutia kazi
Wazazi wake hawakumtafutia kazi wanajua mapungufu ya mtoto wao
Sasa wewe mbuzi mmoja umeyavaa
Mr. MzuzunationNa usisahau kumwambia, wanawake wa siku hizii HAWAPENDEKI.
Just HIT and RUN
#YNWA
Sometimes letting go is the best way to go!!
Kwa kuzingatia sasa Ana mshahara wake , nakushauri kama ifuatavyo
Embu wewe mwenyewe Jiondoe kwake.
Kata Nyuzi ya Mawasiliano iliyokuwepo.
Ndiooo ,usimtafute kwa meseji, kwa simu wala kwann,
Achana na hasra, chuki nakuwaza ulichowekeza, amini nakuambia kadri ambavyo unayawaza haya ndivo unazidi kuumia.
Kuwa Chanya...yaan jipende, kuanzia mavazi, mwonekano, maisha ,kazi ,kua mwenye furaha
HAKIKISHA UNAMUONYESHA KUA UNAFURAHA BILA KUMTAFUTA, ..WATU WABAYA WANAKAWAIDA YA KUTAKA KUONA UBAYA ALOKUFANYIA UNAKUONDOLEA FURAHA. NAHAPA UKIWAJULIA, NIWAO WENYEWE WATAUMIA ( ZINGATIA SANA HILI) .
Hakikisha Sanaaa Hauwi mtu wa mitandaoni sanaaaa , ila kua mtu wa mtandaon kwa 'Nadra yenye Uhakika".. Hapa lengo ni kumrudisha kama bado unamhitaj, nahapohapo lengo nikuendelea na Maisha yako wewe kama wewe.
Kwahiyo,
ACHA KUPOST POSTS ZINAKUONYESHA UNA HUDHUNI ,ACHA KABISAAAA.
kama ni jumbe ,tafuta zile jumbe zinazokuonyesha una furaha mfano"Life is full of surprises "..... Love and happiness ".
Yaaan ukipost leo, unatulia kama siku nne au wiki unapost tena , kama ni picha Weka zinazokuonyesha umecheka ,umetabasamu, uko na jamaa zako wakike au wakiume mkifurahi.
Hakikisha Asijue ratiba za Maisha yako kupitia mtandao..yaan hapa asijue upo wapi siku hizi, unafanya nn, upo na nani n.k
USITUMIE WATU KUMBEMBELEZA.
USIJE KUMBEMBELEZA, AU KUMUOMBA MSAMAHA, KUJARIBU KUHOJI KUNAN, KWANN KABADILIKA N.K ACHAAAAAAAAAAAAAA.
HIZI MBUZI ZISIZOJIELEWA ,HUJA KWENYE MAISHA KUFUNDISHA ..NAHIVO JIONE WEWE NI BORA, WA THAMAN, HB, MWENYE MAISHA. HUWEZ AMIN, ASIPOJIRUDI, ATAKUJA BOOOOONGE LA DEMU KISUUUUUUUU KIKALIIII PISI YENYE KUUMBWA NA KUUMBIKA, ACHANA NAHILO GARI LA MKAA.