Baada ya kumfelisha kocha Nabi kuhusu kambi leo hitaji lake jingine linafeli usiku huu

nzagambadume

JF-Expert Member
Apr 9, 2018
2,430
5,769
Mwarabu wa Tunisia anachonifurahisha kuna maagizo anayatoa wenye masikio na wasikie wenye macho na waone, sisi yetu macho na masikio

Mwarabu ameagiza kipa wa Mali yule anayedaka mabomu, gololi na mishale pamoja na Aucho wapewe ndege faster waingie usiku huu baada ya mechi kati ya Uganda na mali inayopigwa huko kwa museveni

Okay then, over to you CEO GENIUS mwenye akili nyingi sana, usafiri usha arrange,? HALAFU MJUE KHALID AUCHO HAPENDI KUPELEKESHWAPELEKESHWA KAMA HAMUAMINI KAMUULIZENI MOSES MAGOGO RAIS WA FUFA, OOHOOOOO shauri zenu

Basi sawa Mzulu Senzo, usha arrange usafiri wa usiku huu???halafu hongera sana NABI visingizioo vya tarehe 12 unavyo vya kutosha maana hata uwanja wa taifa ulitaka uutumie ijumaa na jumamosi haitawezekana tena maana kale ka uwanja ka pale kigamboni kana mita 40, yaani shuti la MZEE TOZI akipiga goli moja linafika goli jingine in 2 seconds.

WAKATI Klabu ya Yanga jana ikicheza mechi nyingine ya ndani ya mazoezi dhidi ya Pan African SC jana, kujiwinda na mchezo wa awali wa Ligi ya Mabingwa Afrika, Kocha Mkuu wa klabu hiyo, Nasreddine Nabi, amewataka mastaa wake waliopo timu ya taifa nje ya nchi kukwea pipa mara moja pindi tu mechi yao kesho itakapomalizika.

Mbali na mechi moja ya kirafiki ya kimataifa iliyocheza Siku ya Kilele cha Mwananchi dhidi ya Zanaco FC ya Zambia na kupoteza kwa mabao 2-1, wiki iliyopita Yanga ilicheza mechi nyingine ya ndani ya kirafiki ya mazoezi dhidi ya Friends Ranger FC ya Manzese, Dar es Salaam na kushinda kwa mabao 3-1 kwenye Uwanja wa Avic Town ilipo kambi yao.

Na jana jioni ilicheza mechi nyingine ya kirafiki ya mazoezi dhidi ya Pan African kwenye uwanja huo, lengo likiwa ni lile lile la kujiandaa mechi yao ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Rivers United ya Nigeria itakayopigwa Jumapili wiki hii katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.

Ofisa Habari wa Yanga, Hassan Bumbuli, alisema tayari Kocha Nabi, amewataka wachezaji wake wawili waliopo nje ya nchi kuzitumikia timu zao za taifa, kiungo Khalid Aucho wa Uganda na kipa Djigui Diarra kukwea pia mara moja pindi tu mechi yao itakapomalizika leo.

Uganda leo itaikaribisha Mali kwenye mechi ya kuwania kufuzu Kombe la Dunia nchini Qatar mwakani, na timu hizo zitakutana nchini Uganda baada ya mechi za awali Waganda kulazimisha sare tasa ugenini dhidi ya Kenya na Mali kuichapa Rwanda.

“Kwa ujumla maandalizi kuelekea mechi yetu ya kimataifa Jumapili, yanaendelea vizuri na wachezaji wote wapo fiti, hatuna majeruhi yeyote. Leo (jana) jioni tutacheza mechi nyingine ya mazoezi ya kirafiki dhidi ya Pan African ya Dar es Salaam.

“Kikubwa kocha alichoagiza ni kwa wachezaji wake wawili Aucho na Diarra, kuhakikisha wanaanza safari mara moja baada ya mechi yao ya kesho (leo) kumalizika ili kuwahi kuendelea na maandalizi na wenzao,” alisema Bumbuli.

Kuhusu uwezekano wa kupata mechi nyingine ya ndani ama ya kimataifa ya kirafiki kujiandaa na mchezo huo dhidi ya Rivers United, Bumbuli alisema itategemea na maamuzi ya kocha lakini kwa sasa hajaagiza.

“Kwa upande wa mechi ya kimataifa ya kirafiki, hilo halipo kabisa kwa sababu siku ni chache haiwezekana kuanza kulishughulikia hasa ukizingatia wachezaji mpaka waanze kupimwa COVID-19 ili kupata kibali, hilo litakuwa ni vigumu, kama umelisikia hizo ni habari za mitaani tu hazina ukweli wowote.

“Lakini kama kocha atakuwa na mahitaji ya kupata mechi nyingine ya kirafiki ya ndani atatafutiwa ila bado hajasema,” alisema Bumbuli.

Mbali na nyota hao wawili walipo nje ya nchi, wachezaji wengine wa Yanga ambao wanakosekana kambini ni Kibwana Shomari, Bakari Mwamnyeto, Dickson Job na Feisal Salum ‘Fei Toto’, ambao wapo nchini na timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars inayojiandaa kuikaribisha Madagascar katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kesho kwenye mechi ya kuwania kufuzu Kombe la Dunia nchini Qatar 2022.

06Sep2021
 
Hii taarifa ni ya kupuuzwa tu

Umesema kibwana shomari yupo timu ya taifa aliitwa na nani?
 
Mashabiki wa simba ni changamoto! Kuna mmoja alianzisha uzi eti Taifa Stars (Tanzania) inacheza mechi na Mauritania (badala ya Madasgascar) leo kufuzu tiketi ya kucheza kombe la dunia nchini Qatar!!

Sasa unajiuliza hivi Rage alikosea kweli kuwaita mbumbumbu! Maana hawana kabisa uelewa wa vitu vidogo! Kwa hali hii Moo si atakua anawageuza tu kama chapati!
 
Malizana kwanza na tapeli wenu Mo ndo uje kujiandikisha hapa.

Simba ina matatizo mengi kwa sasa kuliko Yanga.

TFF KAMILI KUIVAA MADAGASCAR, NGOMA INAPIGWA BILA MASHABIKI
 
Mashabiki wa simba ni changamoto! Kuna mmoja alianzisha uzi eti Taifa Stars (Tanzania) inacheza mechi na Mauritania (badala ya Madasgascar) leo kufuzu tiketi ya kucheza kombe la dunia nchini Qatar!!

Sasa unajiuliza hivi Rage alikosea kweli kuwaita mbumbumbu! Maana hawana kabisa uelewa wa vitu vidogo! Kwa hali hii Moo si atakua anawageuza tu kama chapati!
Typo haiindoi point kwamba mwarabu wa tunisia haridhiki na kiwanja cha mita arobaini huko kigamboni
Habari ya kibwana kuitwa stars nime paste chanzo cha salehe jembe usikimbilie minor issues ,ishu ni kwamba mwarabu wa tunisia haelewi ungeseungese ww matapeli ya home shopping centre
 
Kuteleza ulimi ni kitu cha kawaida hata msukule mmoja wa Utopolo ulisema Real Madrid ya Ufasaha, na Spika Ndungai alisema alimshuhudia Yesu akitembea na mke wake kwenda kuhesabiwa.
Point ni kwamba mtunisia alitaka kwa mkapa ijumaa na jumamosi na imeshindikana,kiwanja cha avic town kina mita 40 jitu linakazania nimesema maurtania badala ya madagascar
Issue ya pili ni Jana usiku aliwataka mdaka mishale tuliyedanganywa ni keeper numero uno wa mali kumbe msugua benchi pamoja na aucho waje baada ya mechi,hawajafika hadi sasa,tapeli senzo limefeli
Nikapost na chanzo cha habari cha salehe jembe jitu haliangalii habari ni nini lina aangalia salehe jembe kusema kibwana yupo stars
 
Back
Top Bottom