Baada ya kumeza haloperidol hapati usingizi kabisa

Sangoma

JF-Expert Member
Apr 7, 2012
342
162
Habari za majukumu mke wangu amepatwa na matatizo ya akili tarehe 5 mwezi 2 mwaka huu mwanzo tulihisi labda ni mapepo tukaweka nguvu katika maombi sio siri hali ilizidi kua mbaya wa kukimbia barabarani kufikia hatua ya kujaribu kujiua kwa mara mbili na kumuokoa hakuwahi kuugua awali.

Ila mwaka jana mwezi wa 9 alipata na ugonjwa wa kuhema kwashida,kutetemeka,mapigo ya moyo kwenda kasi,vichomi upande wa kushoto kwenye titi na mgongoni tulijaribu hosptal mbalimbali ikiwemo na bugando kwa ajiri ya vipimo lakini vipimo avikuweza onyesha tatizo lolote,ikabidi awekeze nguvu kwenye maombi kwa kuamini anaweza kukaa sawa lakini mwisho wa siku amejikuta anakuwa mtu wa mawazo kukosa usingizi na hatimae kuugua kabisa ugonjwa wa akili.

Kupitia kusoma mawazo ya wengi jf nilianza tiba ya kumshauri pamoja na mazoezi alikuwa anaelenda poa tatizo ni kwenye wasiwasi nilipo jaribu hosptal kwa mtaalam wa hayo matatizo alimwandikia dawa za haloperidol anavyo meza usiku viwili kabla ya kulala amempa siku ya tarehe 20 mwezi 3 mwaka huu ila toka aanze kuvitumia amekua akisumbuliwa na tatizo la kukosa usingizi amezidi kupoteza furaha ile ya awali nimewasiliana na Dr. Kanishauri nisubiri japo kwa wiki mbili ndo nimpeleke hosptal na leo siku ya sita japo analalamika sana swala la usingizi kukosa kabisa sijakata tamaa na Dr. Ila kama kuna mwenye kujua zaidi juu ya hili anaweza nishauri au nisaidia kabisa
20190320_104249.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo dawa inabidi apewe Na Dr au nurse wa magonjwa ya akili. Na kuna kipindi cha kumeza! Nenda psychiatric watakusaidia
 
Pole sana ndugu yangu!
Kwa kweli mnapitia katika kipindi kigumu sana!
Mwambie dr amuandikie dawa ya usingizi!
Ni imani yenu tu ndio itakayo waponya walahi
Mwenyezi Mungu awaongoze kwa mkono wake wenye nguvu!
 
Pole sana ndugu yangu!
Kwa kweli mnapitia katika kipindi kigumu sana!
Mwambie dr amuandikie dawa ya usingizi!
Ni imani yenu tu ndio itakayo waponya walahi
Mwenyezi Mungu awaongoze kwa mkono wake wenye nguvu!
Nashukuru kwa ushauri nitamshirikisha Dr. juu ya hilo anateseka sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za majukumu mke wangu amepatwa na matatizo ya akili tarehe 5 mwezi 2 mwaka huu mwanzo tulihisi labda ni mapepo tukaweka nguvu katika maombi sio siri hali ilizidi kua mbaya wa kukimbia barabarani kufikia hatua ya kujaribu kujiua kwa mara mbili na kumuokoa hakuwahi kuugua awali ila mwaka jana mwezi wa 9 alipata na ugonjwa wa kuhema kwashida,kutetemeka,mapigo ya moyo kwenda kasi,vichomi upande wa kushoto kwenye titi na mgongoni tulijaribu hosptal mbalimbali ikiwemo na bugando kwa ajiri ya vipimo lakini vipimo avikuweza onyesha tatizo lolote,ikabidi awekeze nguvu kwenye maombi kwa kuamini anaweza kukaa sawa lakini mwisho wa siku amejikuta anakuwa mtu wa mawazo kukosa usingizi na hatimae kuugua kabisa ugonjwa wa akili kupitia kusoma mawazo ya wengi jf nilianza tiba ya kumshauri pamoja na mazoezi alikuwa anaelenda poa tatizo ni kwenye wasiwasi nilipo jaribu hosptal kwa mtaalam wa hayo matatizo alimwandikia dawa za haloperidol anavyo meza usiku viwili kabla ya kulala amempa siku ya tarehe 20 mwezi 3 mwaka huu ila toka aanze kuvitumia amekua akisumbuliwa na tatizo la kukosa usingizi amezidi kupoteza furaha ile ya awali nimewasiliana na Dr. Kanishauri nisubiri japo kwa wiki mbili ndo nimpeleke hosptal na leo siku ya sita japo analalamika sana swala la usingizi kukosa kabisa sijakata tamaa na Dr. Ila kama kuna mwenye kujua zaidi juu ya hili anaweza nishauri au nisaidia kabisa namba zangu ni 0757978499View attachment 1053525

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana mkuu. I hope your betterhalf will regain her sanity soon, in Jesus name. Amen.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom