Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,486
- 35,145
Inaonekana kuna watu wamejipanga kisawasawa kumdhibiti Makonda kwenye hii vita ya madawa.
Sikutegemea kuona baadhi ya Watanzania kumkashifu Makonda kwamba anatafuta sifa! Sifa jwa ajili ya nini? Sikutegemea kuona baadhi ya wabunge kusimama na kuanza kumpinga Makonda.
Sasa kinachofuata, Makonda ataachana na hii operesheni na hapo madawa yatakuwa yameruhusiwa rasmi hapa nchini.
Na kwakuwa tumeshindwa kumasapoti Makonda kwa sababu ya mahaba yetu ya kisiasa, nisisikie mtu akilalamika kuhusu madawa ya kulevya tena.