Baada ya kuleta chokochoko za vurugu CHADEMA yapuuzwa Tanzania nzima. Operesheni Haki waliyofanya yaonekana ni batili

Kwa mar

Kwa mara ya kwanza ndo unamsikia warioba?
Warioba alisha puuzwa kitambo, kwa sababu enzi zake hakuwahi kuheshimika maana alipingwa hata na akina wasira na kuangushwa kwenye ubunge.
Ana misimamo yake lakini hiyo pekee haiwezi kuongoza nchi.
Kwa sababu hata wakati akiwa mbunge na wazili hakuwahi kufanya chochote katika jimbo lake, ina maana alishindwa kuongoza jimbo, na hana cha kukumbukwa.
Ukienda ikizu huwezi kuta kitu cha kumkumbuka kwamba alisababisha kitu hicho kuwekwa.
Simply because alikua Mbunge wa Taifa na sio wa jimbo
 
Huu ndio ukweli wa mambo. Kama kuna chama kina gundu basi ni Chadema maana kila wanalogusa kwao linabuma.

Kwa mkwara mzito walikuja na operation digital haki. Lakini ghafla bin vuu wakakengeuka na kudai kwa udi na uvumba wapo radhi kudai haki zao hata kwa kutumia majambia.

Tafiti za kisayansi zinaonyesha hata ziara za haki digital walizofanya hazijazaa matunda na sasa ndio wamepuuzwa kabisa na watanzania.

My take; Ipo haja ya kusomesha vijana kama akina Mdude hata online courses ili wafahamu sayansi ya siasa.
Umemsikia Warioba ?
 
Back
Top Bottom