Baada ya kula ujana vya kutosha, sasa natundika daluga, nimefanya mengi yanatisha na ili la ...

Mim nakushauri kwa hayo yote uliyoyafanya, ni bora ujiue ili roho yako ipumzike na uliotulia wake zetu tufarijike kidogo
 
Baada ya ujana kuuputia vya kutosha sasa naamua kuacha mambo haya hasa ya wanawake ,ninamrudia Mungu na ninataka kuwa mtu wa heshima sasa maana nimefanya mengi mno,
Nakumbuka nimeshatembea na wake za watu, watoto wa geti kali, wasichana wa vyuo, machangudoa mpaka baadhi ya ndugu wenye undugu wa mbali sana,

Nakumbuka nimewahi kutembea na mke wa daktari hapa Singapore kipindi nimekuja natafta kazi nikashindwa kuipata kwa wakati , yeye alinisaidia kwa masharti ya kumfanya ishu ya kikubwa...
Mke wa mzungu ananitaka, sijui nifanye nini? (True Story) - JamiiForums

Nakumbuka siku moja natokea sehem dar wakati wa likizo nikamuibua mmoja kwenye DSM ni shida

Ananisogezea nasogeza analeta tena, sitapanda tena DCM - JamiiForums

Kuna siku nikiwa bado dar niliponea chup chup kupigwa risasi na mme wa mtu kisa nimeenda kwake nkidhani mme wake kasafiri ilikuwa shida nikaokolewa na watu wa msikitini, yaan tabu tupu

Wanawake mlio olewa tuwekeni wazi tunapowatongoza,riziki ulinifanya kukosakosa risasi kwa kunidanganya uko single - JamiiForums

Kuna siku nimeponea kuchomwa kisu hivi hivi, yaan nikaangalia faida ya haya mambo nikawa sijaiona, nilimfuata demu kwake, kumbe ana wenzake na wote wanataka ni hatari ndugu zangu

Sitarudia kumfuata demu kwake! Ilibaki kidogo nichomwe kisu Singapore - JamiiForums

Nilikuwa na techniques maalumu na Nina wapata aisee
Jifunze hapa technics za kuwapata mademu kulingana na mazingira - JamiiForums

Nimefanya mpaka research ya mambo haya kuanzia Rwanda,Burundi,Tz ,Kenya na Uganda yaan kila ladha
East Africa,wadada wa Tanzania ni watamu kuliko kwingine,my own research, - JamiiForums

Nimetengana na wanawake kibao kisa tabia ya kutoridhika na kugeuka kila apitapo mwanamke mzuri mwenye tako na shape kali
Naomba msaada wa ushauri, tabia yangu hii imenitenganisha na wapenzi lukuki anatamani kuiacha - JamiiForums

Kuna siku nimechezea kwa mke wa balozi nikizuga kumfundisha tuition hii ilikuwa hatari japo sikugundulika, nikala hela wee
Hivi kinachofanya mke wa mtu kuwa mtamu sana nini? Nimekumbuka utamu wa mke wa balozi - JamiiForums
......
Yalipoanza kunikabili makubwa mmm ndo nikaanza kuona bora nitulie hakika yan mambo si mazuri na umri unawenda hivo

Nahisi kufukuzwa kazi kisa wanawake walionigombania kesi imefika kwenyewe - JamiiForums

Nawahasa vijana tuokoke hasa ukiona umegonga miaka 30 bila kujirekebisha aisee unaweza kuukwaa UKIMWI ni hatari
Unataka toba usiseme siri zako, ni baina ya wewe na mungu wako, ukisema siri yako, toba hio huwa haipokewi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
@30 ujana ndo unaanza!!
Kabla ya hapo unakuwa na masharti mengi!!
Baada ya 30, hakuna wa kukuuliza!!
@40 ndo unaanza kuslow down!

Muulize Asprin @30 alikuwa na speed ipi ya ujana!!
Ooouh nimekuelewa... kwa hiyo mimi sasa nina 21 nina miaka 9 mbele kabla sijaanza ujana.

Asprin atanipoteza.

Nikajua ujana ni matendo zaidi kuliko umri.
 
Un
@30 ujana ndo unaanza!!
Kabla ya hapo unakuwa na masharti mengi!!
Baada ya 30, hakuna wa kukuuliza!!
@40 ndo unaanza kuslow down!

Muulize Asprin @30 alikuwa na speed ipi ya ujana!!
MWANAUME astaafu ujana wa aina hiyo akiwa na miaka 30!!
wewe!!
amuonea Asprin mkuu. Mimi ninamkakati wa kupeleka maombi Roma ili awe Mtakatifu wa kwanza aliye hai
 
Ooouh nimekuelewa... kwa hiyo mimi sasa nina 21 nina miaka 9 mbele kabla sijaanza ujana.

Asprin atanipoteza.

Nikajua ujana ni matendo zaidi kuliko umri.
Ndo matendo yenyewe hayo!!
Huyo anaamini kashamaliza lakin niamini Mimi!!
NDO ANAANZA!!
hawezi kuwa na hiyo kasi (KAMA NI KWELI)af ikakata paaaap simply because amefikisha miaka 30!!
nah nah!!
KUNA MENGI YA KUPITIA KABLA HUJATANDUKA DALUGA!!
hayatokeagi kabla ya kipindi husika!!

Asprin SA hizi kuna deals za hela hafanyi!!
Hata umwambie zitalipa vipi
ana Mambo mengi ya kujiuliza kabla hajaamua kufanya KITU!!

Some ten years back kulikuwa hakuna hiyo!!


Deals ni mfano tu was Mambo ambayo at a certain age huwezi KUFIKIRI KUTOYAFANYA!!
MAAANA NDO ALAMA YA RIKA!!
na kinyume chake.
 
Ndo matendo yenyewe hayo!!
Huyo anaamini kashamaliza lakin niamini Mimi!!
NDO ANAANZA!!
hawezi kuwa na hiyo kasi (KAMA NI KWELI)af ikakata paaaap simply because amefikisha miaka 30!!
nah nah!!
KUNA MENGI YA KUPITIA KABLA HUJATANDUKA DALUGA!!
hayatokeagi kabla ya kipindi husika!!

Asprin SA hizi kuna deals za hela hafanyi!!
Hata umwambie zitalipa vipi
ana Mambo mengi ya kujiuliza kabla hajaamua kufanya KITU!!

Some ten years back kulikuwa hakuna hiyo!!


Deals ni mfano tu was Mambo ambayo at a certain age huwezi KUFIKIRI KUTOYAFANYA!!
MAAANA NDO ALAMA YA RIKA!!
na kinyume chake.
Aseeh... Shukrani.
Ila 30 inavishawishi na damu inachemka wanawake na nyie ndiyo siku hizi mmekuwa warembo sio watoto sio kina mama sio kina dada.

Huyu haponi atasahau week hii ijayo kadondoka.

Jitahidi tumweke kwenye maombi yetu.
 
Aseeh... Shukrani.
Ila 30 inavishawishi na damu inachemka wanawake na nyie ndiyo siku hizi mmekuwa warembo sio watoto sio kina mama sio kina dada.

Huyu haponi atasahau week hii ijayo kadondoka.

Jitahidi tumweke kwenye maombi yetu.
Nimemsaidia tu kumwambia vitu hataambiwa ili asiwe so ambitious.

Kuhusu kuwa warembo Sasa!!
Wanawake watoto wanakimbila udada
Wadada ndo wadada
Kina mama wanarejuvinate.

KAZI MNAYO!!
 
Mkuu umepitia mengi sana. Ila sijajua tatizo letu vijana ni nini? (Nimepata jibu) ni wadadisi wa kila jambo. Baada ya kuusoma uzi huu link niliyofungua ni: Jifunze hapa technics za kuwapata mademu kulingana na mazingira - JamiiForums

Pia, nilichojifunza na vijana wengi wenye akili kama zangu kuwa wewe ni Hero. Maana ushuhuda wako una mikogo na link za kutosha zenye kuleta udadisi wa kutaka kujua ulicho kiandika wakati hujaokoka.

Nadhani umesha hubiri mkuu. Huna hatia, siku moja tutakutana paradiso.
 
Back
Top Bottom