Baada ya kukusanya korosho na kuzirudisha, naomba kujua serikali imepata hasara kiasi gani

Zero Hours

JF-Expert Member
Apr 1, 2011
12,944
18,653
Tunajua hili sakata la korosho halikuwaacha wakulima peke yao salama, hata serikali nayo imeingiza hasara kubwa sana.

Gharama zilizotumika kusomba korosho, gharama za kuzitunza, kuhesabu, kulipa posho wanajeshi na ma officers.

Hii ni hasara kwetu walipa kodi wazalendo. Na kama mzalendo hii hasara inaniuma sana. Tunahitaji kujua ni kiasi gani na mamlaka husika iliyosababisha hii hasara inawajibishwaje kama walivyowajibishwa watumishi na viongozi mbali mbali.

Bila kumsahau yule waziri alyetumbuliwa kisa korosho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni hasara kwetu walipa kodi wazalendo. Na kama mzalendo hii hasara inaniuma sana. Tunatajikwa tujui ni kiasi gani na mamlaka husika iliyosavabisha hii hasara inawajibishwaje kama walivyowajibishwa watumishi na viongozi mbali mbali.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi Rais alipata wapi hela za ku involve wanajeshi , magari, mafuta, tear and wear etc etc? Alizichota wapi?
 
Hazina walitoa shilingi bilioni 7 kwa jeshi kwa operation ya kusimamia na kusafirisha korosho
 
Tunajua hili sakata la korosho halikuwaacha wakulima peke yao salama, hata serikali nayo imeingiza hasara kubwa sana.

Gharama zilizotumika kusomba korosho, gharama za kuzitunza, kuhesabu, kulipa posho wanajeshi na ma officers.

Hii ni hasara kwetu walipa kodi wazalendo. Na kama mzalendo hii hasara inaniuma sana. Tunahitaji kujua ni kiasi gani na mamlaka husika iliyosababisha hii hasara inawajibishwaje kama walivyowajibishwa watumishi na viongozi mbali mbali.

Bila kumsahau yule waziri alyetumbuliwa kisa korosho.

Sent using Jamii Forums mobile app

##JIWEMUSTGO##
 
Back
Top Bottom