#COVID19 Baada ya Kukubali Chanjo, na Rais Samia Kuchanja, Kiongozi yeyote anayepinga Chanjo hadharani ni 'Insubordination' na usaliti

Chanjo imetusaidia sana kipindi hiki cha Omicron. Unaugua siku mbili ya tatu unaamka na kuendelea na shughuli kama kawaida.

Kama tungepuuzia chanjo, tungeziona TANZIA nyingi sana kama mwanzo wa mwaka huu na mwaka jana wote.
Kuna daktari Mtaalamu epidemiologists wa South Africa amesema omicron inawashika waliochanjwa tuu!.
P
 
Kuna daktari Mtaalamu epidemiologists wa South Africa amesema omicron inawashika waliochanjwa tuu!.
P
Tutasikia yakisemwa mengi. Labda kuna ukweli kuanzia jumatano najisikia hovyo tu, koo kavu sana na nikiamka asubuhi mwili umechoka.

Lakini ugonjwa unapita tu. Wiki ijayo itakuwa njema kuliko hii inayomalizika leo hii.
 
Kuna daktari Mtaalamu epidemiologists wa South Africa amesema omicron inawashika waliochanjwa tuu!.
P
Huo ndio ukweli wenyewe, UK hivi sasa wamepigwa ban kwenda Germany kwa sababu wengi waliochanjwa imewafuata kwa kasi. Hapo bado, waliochanjwa wote lazima wateketee wabaki wasiochanjwa, ndio watafahamu nani amekurupuka, muda utaongea.
 
Kuna daktari Mtaalamu epidemiologists wa South Africa amesema omicron inawashika waliochanjwa tuu!.
P
Ni kama kuna kaukweli, ila pia siyo kweli, hii homa ya mafua, ni ya kawaida na imepitia kuanzia watoto wadogo hadi watu wazima, na watoto wadogo hawajapewa chanjo.
Nakumbuka kabla ya haya mafua kubandikwa majina, hatukuogopa.

Everyday is Saturday................................:cool:
 
Huo ndio ukweli wenyewe, UK hivi sasa wamepigwa ban kwenda Germany kwa sababu wengi waliochanjwa imewafuata kwa kasi. Hapo bado, waliochanjwa wote lazima wateketee wabaki wasiochanjwa, ndio watafahamu nani amekurupuka, muda utaongea.
Mkuu acha hizi siasa za kitoto.
 
Back
Top Bottom