Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

Habari zenu wanachama wa JF,

Natafuta mwanaume ambae Mungu akitujalia awe mwana ndoa wangu, umri kuanzia miaka 27 kuendelea, awe na kazi yoyote inayo weza kumuingizia kipato kujituma maji ya kunde urefu futi 5, Mkiristo awe na mapenzi ya dhati.

Kwa upande wangu sijawahi zaa, sijawahi olewa, mcheshi na mwenye msimamo thabiti mengine kuhusu mimi pm.

Tafadhari kama ujumbe huta upenda usinitafute pm
Karibuni mliovutiwa na ujumbe wangu
Mungu awabariki sana

Bado sijafunga maombi pm mkujeee
Hujasahu kuandika na kuwa hujawahi kufanya mapenzi?
Nakukumbusha tu
 
Habari zenu wanachama wa JF,

Natafuta mwanaume ambae Mungu akitujalia awe mwana ndoa wangu, umri kuanzia miaka 27 kuendelea, awe na kazi yoyote inayo weza kumuingizia kipato kujituma maji ya kunde urefu futi 5, Mkiristo awe na mapenzi ya dhati.

Kwa upande wangu sijawahi zaa, sijawahi olewa, mcheshi na mwenye msimamo thabiti mengine kuhusu mimi pm.

Tafadhari kama ujumbe huta upenda usinitafute pm
Karibuni mliovutiwa na ujumbe wangu
Mungu awabariki sana

Bado sijafunga maombi pm mkujeee
Ningependa kujua umri na Kazi yako
 
Wewe kazi unayo hahahah..! Nani ageuzwe MPESA..
 
Embu nistue PM tuyajenge
 
Njoo PM nipo mie sifa zote ninazo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom