Baada ya kukatwa CCM, Andrew Chenge akanusha vikali tetesi za kuhama chama

Replica

JF-Expert Member
Aug 28, 2017
1,444
7,806
Andrew Chenge amejitokeza baada ya kuwepo tetesi za kuhamia chama cha ACT-Wazalendo na kuongelea tetesi hizo zinasombaa kwenye mitandao ya kijamii. Chenge amewashukuru viongozi wa chama cha Mapinduzi kwa heshma waliyompatia tangu 2005 kupeperusha bendera ya CCM kukomboa jimbo kutoka upinzani.

Chenge amesema anaona kwenye mitandao na maneno mengine ya kipuuzi yanasemwa na kusisitiza kuanzia sasa hakuna kundi la Chenge wala Nkundo bali kundi lao ni la CCM.

Mgombea ubunge jimbo la Bariadi, Injinia Andrea Kundo amechukua fomu kuwania nafasi hiyo kupitia chama cha mapinduzi, nafasi ambayo ilikuwa inashikiliwa na Andrew Chenge aliyemaliza muda wake na kutopitishwa na CCM kuendelea.

 
Ana jeuri ya kuhamia ACT huyo fisadi papa? Kwani haogopi kutapishwa na Msukuma mwenzake vile vijisent vyake alivyohongwa kwenye ile dili ya mauziano ya rada kuukuu?
 
Mtuhumiwa huyo, ahame aende wapi..,

Kapigiwa simu moja tu mavi debe!!
 
Lile hekalu lake kwenye ile njia ya kwenda coco beach limeshakamilika?

Natafuta nyumba ya kupanga maeneo yale.
 
Back
Top Bottom