Baada ya kugundua jinsi Kijana alivyowafanyia wazazi wake, nimelia sana. Kwanini lakini mtu afanye hivi?

wee mhaya kumanina kabisa watu wana nunua harrier kama gari yao ya maisha wewe una sema sio gari wakati watu hawana hata pikipiki na wana shukuru tu uachage u k*m* be mdogo hii dunia bi ndogo sana
 
Huyu ni kijana mdogo dereva wetu hapa ofisini. of course yeye ndo huwa ananiendesha maana alipata mafunzo ya udereva marekani na kuwa anaendesha mabalozi wa marekani n.k sasa tupo naye kazini mwezi wa tano sasa. juzi akawa anasema kuwa baba yake anaumwa mafua makali na kikohozi nikamuuliza amempeleka hospitali akajibu ndiyo. baada ya siku tatu akanambia bado hali ya baba yake inasua sua. nikamuuliza amempeleka hospital? akajibu ndiyo. nikamuuliza daktari wa wazazi wake anasemaje? nlishangaa anasema hawana daktari. yaani ameshindwa kuwawekea wazazi wake daktari? nlishtuka sana. kumuuliza mwanasheria wa familia. naye hana.nikamuuliza mchungaji/padre au sheikh wa familia. akajibu hana....nikaona tayari hapa kuna shida.jamaa hayupo serious kabisa na maisha ya wazazi wake.nlitokwa na machozi.nliumia sana.nililia...sikuamini.

Kwenda kufuatilia kumbe hajampeleka baba yake hospital kampeleka sehemu moja wanaita Amana... ipo Ilala. nikamwambia Hospital si ni Aga Khan au Muhimbili? hakuelewa kabisa. ndo kumchukua mzazi wake apelekwe Hospital Aga Khan. cha kushangaza yaani pamoja na kulelewa na wazazi wake mpaka umri huo anawaacha waendeshe Harrier. jamani haya maisha mzazi unashindwa mnunulia gari unamwacha aendeshe Harrier? kweli? hizi Toyota Harrier hivi hata upande wake wa safety ukoje? naona kama ni nyepesi sana.

Ndo kumwambia dereva wangu aende wachukua kwenye GMC yangu awapeleke hospital wote. nashukuru walifurahi sana kupanda gari.miaka yote walikuwa hawajawahi panda gari. wanatumia hizi Toyota na Nissan au Subaru .wazee wanaishi mazingira magumu huko sinza. sinza ni sehemu ya watu wa kipato cha chini sana...nikamshauri huyu bwana mdogo awahamishie angalau Mikocheni au Mbezi Beach maana nilimwambia kuna apartments za bei rahisi huku oysterbay.. tsh 10,000,000 kwa mwezi akashtuka kidogo ameze ulimi. anadai eti ni nyingi kwake... jamani wazazi tuwapende na kuwajali wanapofikia umri huu wa miaka 50 plus wanunulie gari kama hawana. wawekee daktari wao.mwanasheria,wafanyakazi,dereva n.k waache tu wafurahie maisha wasiwe na msongo wa mawazo. kwa mwaka angalau hakikisha mara tatu wanaenda tembelea mbuga,nchi nyingine n.k wapende wazazi wako hapa duniani usisubiri wafe uweke picha zao za kuwataka wa rest in peace. let them live in peace right now.

Jamaa nimempa somo kubwa sana. baba yake sasa amepona ananishukuru sana. nimemwambia jamaa ajitahidi hata kwa mwezi awe anatuma tsh 3,000,000 za matumizi kama hali yake ni ngumu sana. wata enjoy na kumbariki. sisi huwa tunawanunulia zawadi wazee wetu mpaka nao wanaenda kugawa kwa marais,mawaziri au wafanyabiashara wakubwa wakubwa.wala hatuudhiki kwa mambo hayo. maana nlishangaa kuiona saa flani ambayo nilinunua Uswisi akiwa amevaa Waziri mmoja hapa Tanzania. nlishtuka sana na kumpigia simu mzee akasema huyo waziri alienda Canada wakaonana akaona ile saa akaipenda sana. alipoulizia bei akatajiwa alipatwa na kigugumizi ghafla na kutoa gesi kwa mshtuko. anasema ni kama angefanya serving ya mishahara na malupulupu yake ndo aje apate hiyo saa miaka ijayo. mzee akavua akampa. huyo waziri kila siku huwa anapiga simu kwa mzee kumshukuru. mzee alishamkataza kuwa ni mambo ya kawaida asijali but haamini kuwa ana saa kama ile. mzee kaamua ku mblock maana ni usumbufu sasa.

Anyway..tuwapende wazazi wetu tusisubiri mpaka wafe na kuanza kuwapost.
Jocking content

Sent from my TECNO BC2c using JamiiForums mobile app
 
Yaani unawapeleka Wazazi wake Agakhan Hospitali chafu vile?? mweee!! imekaa kitapeli tapeli tu! joto tuuuu! njaa ya hela wahindi wale ! wabaguzi na wewe pia huwapendi sababu umeenda kuwalisha sumu wazazi wa mwenzako.

wale wanatibu na dawa zilizo expire!! huna hela nini??!! badala ya kuwa beba na air ambulance wanalazwa humo ndani ya ndege kwanza!! wanaanzia matibabu hukohuko juu! kwenda SOUTH.

wewe na uelewa wako finyu huo unatoa mji gari m-bovu huo! halina kiti ch daktari halina dawa za dharula halina kitanda sasa mgonjwa akizidiwa atasaidiwa na nani?? mgonjwa anakaa kwa kiti kigumu vile??

umewaburuza sana hao!! wewe ulitaka kuwauwa tu! hata mafuta ya uhakika kwa helikopta unge jaza Nairobi kwa wajanja kwa nini hukufanya japo km Lisu?...sasa Dr gani alimsindikiza kwenda Aghakhani yako hiyo? km kweli uko seroius??

tena wahindi yana dharau yale majamaa wee!! acha tu!! ukifika wanakuona nyani huyooo!! kaja kwa mbwembwe!! ungemrusha na ndege la kukodi tanzanair to Baragwanath General Hospital!.....atibiwe na raia mchanganyiko! au

ungempeleka Queen Mamhato genaral Hospital! tunako tibiwa sisi wajanja! wenye hela na wadhifa!! lkn huko uliposema ulitaka kuwaua!! tu! ....usirudie tena, kufanya ivo nakuonya km hujui uje uombe msaada kwangu ujaze form getini ukifika!

sawa la chama....
 
Yaaani umewapeleka Mbezi beach kure kwenye madimbwi ya maji kutoka mbezi juu!!....unataka wazazi wa mwenzako waondoke na mafuriko? .......you are not serious

hujui tu kule yalikuwa mashamba ya mpunga zamani za uhuru!..ndo maana maji hayaishi huko!!! weee endelea tu unacho kitafuta kwa wazazi hawa utakipata
 
Huyu ni kijana mdogo dereva wetu hapa ofisini. of course yeye ndo huwa ananiendesha maana alipata mafunzo ya udereva marekani na kuwa anaendesha mabalozi wa marekani n.k sasa tupo naye kazini mwezi wa tano sasa. juzi akawa anasema kuwa baba yake anaumwa mafua makali na kikohozi nikamuuliza amempeleka hospitali akajibu ndiyo. baada ya siku tatu akanambia bado hali ya baba yake inasua sua. nikamuuliza amempeleka hospital? akajibu ndiyo. nikamuuliza daktari wa wazazi wake anasemaje? nlishangaa anasema hawana daktari. yaani ameshindwa kuwawekea wazazi wake daktari? nlishtuka sana. kumuuliza mwanasheria wa familia. naye hana.nikamuuliza mchungaji/padre au sheikh wa familia. akajibu hana....nikaona tayari hapa kuna shida.jamaa hayupo serious kabisa na maisha ya wazazi wake.nlitokwa na machozi.nliumia sana.nililia...sikuamini.

Kwenda kufuatilia kumbe hajampeleka baba yake hospital kampeleka sehemu moja wanaita Amana... ipo Ilala. nikamwambia Hospital si ni Aga Khan au Muhimbili? hakuelewa kabisa. ndo kumchukua mzazi wake apelekwe Hospital Aga Khan. cha kushangaza yaani pamoja na kulelewa na wazazi wake mpaka umri huo anawaacha waendeshe Harrier. jamani haya maisha mzazi unashindwa mnunulia gari unamwacha aendeshe Harrier? kweli? hizi Toyota Harrier hivi hata upande wake wa safety ukoje? naona kama ni nyepesi sana.

Ndo kumwambia dereva wangu aende wachukua kwenye GMC yangu awapeleke hospital wote. nashukuru walifurahi sana kupanda gari.miaka yote walikuwa hawajawahi panda gari. wanatumia hizi Toyota na Nissan au Subaru .wazee wanaishi mazingira magumu huko sinza. sinza ni sehemu ya watu wa kipato cha chini sana...nikamshauri huyu bwana mdogo awahamishie angalau Mikocheni au Mbezi Beach maana nilimwambia kuna apartments za bei rahisi huku oysterbay.. tsh 10,000,000 kwa mwezi akashtuka kidogo ameze ulimi. anadai eti ni nyingi kwake... jamani wazazi tuwapende na kuwajali wanapofikia umri huu wa miaka 50 plus wanunulie gari kama hawana. wawekee daktari wao.mwanasheria,wafanyakazi,dereva n.k waache tu wafurahie maisha wasiwe na msongo wa mawazo. kwa mwaka angalau hakikisha mara tatu wanaenda tembelea mbuga,nchi nyingine n.k wapende wazazi wako hapa duniani usisubiri wafe uweke picha zao za kuwataka wa rest in peace. let them live in peace right now.

Jamaa nimempa somo kubwa sana. baba yake sasa amepona ananishukuru sana. nimemwambia jamaa ajitahidi hata kwa mwezi awe anatuma tsh 3,000,000 za matumizi kama hali yake ni ngumu sana. wata enjoy na kumbariki. sisi huwa tunawanunulia zawadi wazee wetu mpaka nao wanaenda kugawa kwa marais,mawaziri au wafanyabiashara wakubwa wakubwa.wala hatuudhiki kwa mambo hayo. maana nlishangaa kuiona saa flani ambayo nilinunua Uswisi akiwa amevaa Waziri mmoja hapa Tanzania. nlishtuka sana na kumpigia simu mzee akasema huyo waziri alienda Canada wakaonana akaona ile saa akaipenda sana. alipoulizia bei akatajiwa alipatwa na kigugumizi ghafla na kutoa gesi kwa mshtuko. anasema ni kama angefanya serving ya mishahara na malupulupu yake ndo aje apate hiyo saa miaka ijayo. mzee akavua akampa. huyo waziri kila siku huwa anapiga simu kwa mzee kumshukuru. mzee alishamkataza kuwa ni mambo ya kawaida asijali but haamini kuwa ana saa kama ile. mzee kaamua ku mblock maana ni usumbufu sasa.

Anyway..tuwapende wazazi wetu tusisubiri mpaka wafe na kuanza kuwapost.
Mkuu ,boss ,mutu mukubwa kiduku lilo kuna habari zimeenea kwamba umeinunua jamiiforums na kumpatia zawadi mkuu maxence melo maana haupendi kutumia platforms za bure bure hizi 😂😂😂
 
Nimefurahi umenifanya sijasoma hadi mwisho taarifa hii.. umeanza ujinga kuandika mapema.. 😂😂😂😂ningeumia nisome hadi chini ndio nikute kumbe ni stry ya kipuuzi😂😂😂
Pia alipoanza kuponda aina za magari nikaona inawezekana hata anachokisema ametokwa na machozi ni uongo.
Eti familia kua na shehe au padri wake.
 
1650186320909.png

Bill lugano, ali-oder hio pens kutoka USA
 
Back
Top Bottom