kubwa jinga jr
JF-Expert Member
- Mar 19, 2017
- 292
- 309
wadau amani kwenu
jana niliamka mapema asubuhi nikaamua kufanya usafi kuzuunguka nyumba yangu kabla ya kufungua biashara yangu duka
Baada ya kufanya usafi mama watoto akaniambia chai na mihogo tayari,nikamjibu anipelekee maji ya kuoga kwanza ili nikimaliza chai nifungue biashara moja kwa moja,bas mama watoto akatekeleza yale maagizo
Nikaingia chooni nikatupa taulo yangu juu ya mlango si mnajua vyoo vyetu vya mikoani nikaamua nikate gogo kidogo,wakati nimechuchumaa ghafla nikasikia nywiiiiiii yaani kwenye pumbu ,kama mtu aliechomwa sindano kwenye pumbu maumivu yake
Nikaruka kimo cha ng'ombe mtoto nikanguuka kwa kishindo,mara wife na watoto na shemeji zangu wakanikuta