Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 36,982
- 45,902
Mwenyekiti wa chadema bw.Freeman Mbowe kwa nyakati tofauti ametangaza kwa wanachama wake kuwepo kwa operesheni kadhaa ambazo kwa uchache wake ni operesheni ukuta na katafunua.
Operesheni hizi zililenga kutoa sauti dhidi ya serikali kutokana na madai yao ambayo wanahisi serikali haifanyi vyema!
Kwa ajabu kabisa, operesheni ya ukuta aliiahirisha kwa muda usiojulikana mpaka alipoibuka na opereresheni katafunua.
Ukijaribu kufuata mwenendo huu wa ahadi zisizotekelezeka ni kishiria tosha za kupungua weledi kwa kiongozi huyu mkuu!
Kwa kifupi ni kwamba, ameshindwa kutekeleza majukumu yake ya uwenyekiti, hivyo wanachama wa chama chake wanapaswa kumuwajibisha.
Sidhani kama ni afya kwa Taasisi kua na kiongozi ambaye hasimami kwa kauli zake wala hataki aaminike kwa watu anaowaongoza!
Sioni ajabu kama kesho atatangaza operesheni nyingine ambayo nayo itafeli!