Baada ya kufanyiwa usaili wa kazi, ishara gani itakufanya ujue umepata au umekosa kazi?

naomba kazi

JF-Expert Member
Mar 5, 2019
253
213
Habarini za jioni hii

Je, unapokutana na jopo la inteviewers (wanaokuuliza maswali) na kuanza kukuuliza maswahili ni ishara gani itaonyesha kuwa umefanya vizuri

1. Ni kujibu maswali yote kwa ufanisi pasipo kukwama kwama

2. Ni kujibu baadhi ya maswali ambayo ni technical kwa ufasaha, (hapa namaanisha ata yale mengine ya general kama umefanya vibaya sio mbaya

Naombeni mtazamo WENU wakuu wana jf
 
Habarini za jioni hii, je unapokutana na jopo la inteviewers (wanaokuuliza maswali) na kuanza kukuuliza maswahili je ni ishara gani itaonyesha kuwa umefanya vizuri

Ukipigiwa simu au ujumbe wa kukutaka kufika kazini jumatatu

Sent from my SM-A720F using Tapatalk
 
Nasemea wakati unafanyiwa interview ni ishara gani utaona kutoka kwao kuwa wewe kweli unafaha kuungana nao kwenye kazi iyo
 
Uki
Habarini za jioni hii, je unapokutana na jopo la inteviewers (wanaokuuliza maswali) na kuanza kukuuliza maswahili je ni ishara gani itaonyesha kuwa umefanya vizuri

1. Ni kujibu maswali yote kwa ufanisi pasipo kukwama kwama

2. Ni kujibu baadhi ya maswali ambayo ni technical kwa ufasaha, (hapa namaanisha ata yale mengine ya general kama umefanya vibaya sio mbaya

Naombeni mtazamo WENU wakuu wana jf
ukiulizwa 'Upo tayari kuanza kazi lini?', ujue ushafuzu
 
Habarini za jioni hii

Je, unapokutana na jopo la inteviewers (wanaokuuliza maswali) na kuanza kukuuliza maswahili ni ishara gani itaonyesha kuwa umefanya vizuri

1. Ni kujibu maswali yote kwa ufanisi pasipo kukwama kwama

2. Ni kujibu baadhi ya maswali ambayo ni technical kwa ufasaha, (hapa namaanisha ata yale mengine ya general kama umefanya vibaya sio mbaya

Naombeni mtazamo WENU wakuu wana jf
1.Ukiona kila unachoongea wanakubishia hapo ujue ushakosa kazi
2.Ukiona baada ya Interview wanakuuliza maswali Kama:
-baada ya muda gani utakuwa tayari kuanza kazi hapo ujue una asilimia nyingi za kupata kazi.
-Ukiona baada ya Interview wanakuuliza kwa Sasa unapatikana wapi hapo ujue una asilimia nyingi za kupata kazi
3.Na ukiona wewe ndio ulikuwa mzungumzaji kwa muda mrefu na wao wakaishiwa maneno hapo una asilimia nyingi za kupata kazi,na Kama ni kinyume chake hapo umekosa kazi.
Na mengine umeshayataja mwenyewe kwenye uzi wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom