Baada ya kudhibiti ofisi: Sasa ni Ruzuku, Maalim atanyooka tu

KIGWANYA

Member
Apr 14, 2016
81
103
Wadau habari.
Baada ya Prof. Kuthibiti ofisi ya CUF kilichobaki sasa nikuithibiti ruzuku ya chama hicho ili ajihakikishie umiliki halali wa uenyekiti. Wale wanaobeza uwenyekiti wake wasubiri pale atakapokua na nguvu kamili ya kuthibiti hela za chama watataka usuluhishi wenyewe vinginevo waanzishe chama chao.
Take it from me.
 
Ni mpuuzi pekee anaye weza kufurahia upuuzi unao endelea cuf na mwenyemwenye kiti wake wa kujirudisha madarakani kwa lazima baada ya kujiuzuru kwa hiyari.
 
hivi ruzuku ipi unayozungumzia? je ni ile iliyotokana na ushirikiano kwenye UKAWA na kuibuka na wabunge kumi wa cuf bara?
 
Who da hell are u?? Eti take it from me...Lipumba ataondoka na kuicha CUF imara hizo fujo zake hazina tija na anajitia aibu mzee wetu...am sure hana peace of mind ndio mana amegeuza ofisi ya chama kuwa nyumba ya kuishi.
 
Wadau habari.
Baada ya Prof. Kuthibiti ofisi ya CUF kilichobaki sasa nikuithibiti ruzuku ya chama hicho ili ajihakikishie umiliki halali wa uenyekiti. Wale wanaobeza uwenyekiti wake wasubiri pale atakapokua na nguvu kamili ya kuthibiti hela za chama watataka usuluhishi wenyewe vinginevo waanzishe chama chao.
Take it from me.
Crap.
 
Back
Top Bottom