Baada ya kubadili Display Simu inachelewa kujaa

Richmoto Kushmoto

JF-Expert Member
Jan 18, 2021
549
557
Kama kichwa cha habari kinavyosema baada ya kubadili display simu yangu inachelewa kujaza moto yaani nimeweka usiku kucha lakin nakuta ina asilimia 52

Msaada kwa hii ishu simu ni Galaxy A02 KAVU
 
alafu kwa mfano kama km ni ampere 2 inamaana gani
Wanaonesha kwa milliamps kama ni 2000 (ampere 2) ina maana simu ipo OK na ina chaji kwa haraka.

Kama chaji inaisha ama haijali haraka hali ya kuwa inachaji haraka inamaana system charge ni mbovu.
 
inaleta hivyo nimechomeka now
Screenshot_20211027-205647_Ampere.jpg
 
Back
Top Bottom