Kadi Poa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 2,015
- 1,004
Alipokuwa mdogo ndio alijiita dogo janja ila sasa ameota ndevu anajiita Janjaro.Dogo Janja ndio Janjaro?
Alipokuwa mdogo ndio alijiita dogo janja ila sasa ameota ndevu anajiita Janjaro.Dogo Janja ndio Janjaro?
Yule dogo ni mwenyeji wa Singida lakini ameloea ArushaAlipokuwa mdogo ndio alijiita dogo janja ila sasa ameota ndevu anajiita Janjaro.
Habari za wakati huu wanachama wa jamiiforums
Baada ya kuapishwa kuwa katibu mkuu kiongozi, mzee Bashiru Ally alipaswa kwenda "rasmi" kuipa pole familia ya Balozi Kijazi. Huu ndio uungwana wetu sisi waafrika. He was supposed to go and condole the family of his predecessor.
Nina imani kubwa sana na utendaji kazi, hekima pamoja na busara za Dr. Bashiru Ally Kakulwa sio tu baada ya kuwa katibu mkuu wa CCM bali hata alipokuwa Mhadhiri Muandamizi katika taaluma ya Sayansi ya Siasa pale chuo kikuu cha Dar es Salaam. Mzee Bashiru ni moja kati ya wanazuoni makini na hazina kubwa ambayo Mwenyezi Mungu amelijalia taifa hili la Tanzania.
Mnano tarehe 17 February 2021 Tanzania ilifikwa na msibwa mkubwa wa aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi kwa wakati ule Mhe. Balozi John Kijazi. Kama ilivyo kawaida yetu sisi Watanzania, viongozi mbali mbali wa serikali pamoja na chama walifika ukumbi wa Karimjee kumuaga Mh. Balozi.
Hata kama Mzee Bashiru alikuwapo siku ya mazishi au wakati wa kutoa heshima za mwisho kwa Balozi Kijazi, basi alikuwapo pale kama kiongozi wa kisisasa yaaani katibu mkuu wa CCM na sio kama mtumishi wa umma/serikali aliyekalia kiti cha Kijazi (Katibu Mkuu Kiongozi). He was there as a political figure and not a public servant.
Kwa wale wadogo zangu wasiofahamu hii imekaa hivi, siku zote mtumishi anapokufa, hususan wa umma, anakuwa amekufa yeye lakini ofisi imebaki nikiwa na maana kwamba Balozi Kijazi alifariki lakini ofisi ya katibu mkuu kiongozi bado ilikuwepo, tofauti kabisa na ofisi za watu binafsi ambazo boss akifa basi na ofisi, kama ni duka, nayo inakufa.
Katika ofisi hiyo bila shaka kuna wafanyakazi wa kada mbalimbali waliokuwa chini yake, ambao sasa watakuwa chini ya mzee Bashiru, na bila shaka walifika moja kwa moja nyumbani kwa Hayati boss wao na kufikisha salamu za pole (sina uhakika lakini nina imani walifanya hivyo kutokana na utamaduni mwema wetu sisi watanzania) lakini ikumbukwe ya kwamba Pope John Paul II aliwahi kusema maneno haya "To maintain a joyful family requires much from both the parents and the children. Each member of the family has to become, in a special way, the servant of the others"
Mzee Bashiru as a new parent in the office (a new Chief Secretary) was supposed to serve his part the same way his children (fellow workmates in his new office) did to the ambassador Kijazi's family.
HUU NI MTAZAMO WANGU TU, NIPO TAYARI KUSAHIHISHWA (I STAND TO BE CORRECTED)
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Anakaa Sakina ninapajua mpaka kwaoYule dogo ni mwenyeji wa Singida lakini ameloea Arusha
Janjaro alitaka kumla mtoto wa P Funk ila baba mtu majani akamaindi kishenzi akaja juuAlipokuwa mdogo ndio alijiita dogo janja ila sasa ameota ndevu anajiita Janjaro.
Uongo huu mkuu. Kwao NgarenaroAnakaa Sakina ninapajua mpaka kwao
Mbona majani alikuwa anaharibu sana mabinti wa watuJanjaro alitaka kumla mtoto wa P Funk ila baba mtu majani akamaindi kishenzi akaja juu
Kwao Sakina lakini amemjengea mama yake zinga la nyumba Njiro.Anakaa Sakina ninapajua mpaka kwao
Majani alimla mpaka kajalaMbona majani alikuwa anaharibu sana mabinti wa watu
Yes. Anakaa jirani na mtoto wa baba mdogo wanguUongo huu mkuu. Kwao Ngarenaro
Yule ni muhuni tu kama wahuni wengineMajani alimla mpaka kajala
Majani alisomaga IST shule ya kishuaMajani alimla mpaka kajala
Kwa hiyo wewe ndio baba yake?Uongo huu mkuu. Kwao Ngarenaro
Jamaa ana ngoma huyu ujue?Majani alimla mpaka kajala
Upo mkuu?Okay