Baada ya kuapishwa kikwete ataelekea marekani kupumzika mwezi mmoja | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baada ya kuapishwa kikwete ataelekea marekani kupumzika mwezi mmoja

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Gosbertgoodluck, Nov 4, 2010.

 1. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #1
  Nov 4, 2010
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Daktari wa kikwete amemshauri baada ya vurugu za uchaguzi anahitaji mapumziko kama mwezi mmoja hivi ili kupata nguvu ya kuwatumikia watu wake waliomsaidia kuchakachua matokeo na kuwezesha ushindi wa sunami. Daktari amemshauri aondoke mara baada ya kuunda baraza la mawaziri. Yeye amekubali kwa mantiki kwamba atatumia fursa kuomba vyandarua vingine na msaada wa kununua bajaji.
   
 2. U

  Uswe JF-Expert Member

  #2
  Nov 4, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  a nice joke is that which is very close to the truth, yaani hapa sijui unatania au unasema ukweli b'se jamaa ni kweli anaweza kufanya hivyo
   
 3. K

  Kimambo Member

  #3
  Nov 4, 2010
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 76
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  mh huko anaenda kuishia
   
 4. Sambah

  Sambah Member

  #4
  Nov 4, 2010
  Joined: Nov 4, 2008
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  ya kweli hayo si unajua tena . kuchakachua pia ilikuwa kazi ngumu na mapumziko ni ya muhimu mwache akatuongezee umaskini na mwamko wa kuipiga chini msimu ujao ila itabidi tukodi mfumo mzima wa kusimamia uchaguzi kwakuwa wenyewe tumehakikishiwa hatuwezi kujisimamia wenyewe kwa haki na upendo .
   
 5. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #5
  Nov 4, 2010
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Mkuu nilikuwa najiuliza swali kama hilo. Hapa JF kuna wengi wanasubiri nini itakuwa excuse ya ziara this time. This time he has nothing to worry, anaweza kufanya kila analotaka na ingekuwa tuweke thread ya ahadi za JK tuone utekelezaji wake na tuone atatekeleza ahadi ngapi.
   
Loading...