Baada ya kuangalia mawazo ya watu mbalimbali humu JamiiForums, nimeona nianze hivi...

Wazo zuri mkuu,Mungu akusimamie utimize ndoto yako.

..huyu ndugu yetu Mohamed Mtoi alifariki kwa ajali ya gari wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu wa 2015.

..alikuwa anagombea kwa tiketi ya chadema nadhani jimbo la Lushoto mkoani Tanga.

..Mohamed alikuwa mwanachama muungwana sana hapa JF.

..Tuzidi kumuombea DUA njema.
 
Safi sana mkuu, Hiyo fursa ya kukutembelea tunaikosa tulio mbali Mungu akijaalia uzima na mimi nikiwa karibu nitakutafuta nije kukutembelea mkuu, Mungu azidi kukubariki na kukushushia baraka ufikie malengo yako kaka.
Takribani miaka 8 imetimia tangu ulete uzi huu.

Bila shaka una mengi ya kushare, naomba ushare hapa tuweze kuelimika n

..huyu ndugu yetu Mohamed Mtoi alifariki kwa ajali ya gari wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu wa 2015.

..alikuwa anagombea kwa tiketi ya chadema nadhani jimbo la Lushoto mkoani Tanga.

..Mohamed alikuwa mwanachama muungwana sana hapa JF.

..Tuzidi kumuombea DUA njema.
Ni kweli. Mtoi alikuwa mwanachama nzuri. Pia aliwahi kunifata mm inbox kwa mipango zaidi ya kilimo. Kwa bahati mbaya sana akawa amefariki kabla ya kutimiza ndoto zake.
 
Back
Top Bottom