Baada ya kuamua kuachana na mke wa mtu ameamua kunipa mdogo wake niendelee kufaidi maisha, upendo wa namna gani

Niwe na wivu kwa sababu we unakula mke wa mtu, we jamaa hujielewi kabisa kumbe, kula dem wa mtu lakin usile mke wa mtu ambae yuko kweny ndoa yake alaf unakuja huku kujisifia upumbavu, madem kibao mtaan wako single, mke wa mtu muheshim sana itakigharim siku moja
Usilopenda kutendewa basi usimfanyie mwenzio itafika kipindi mleta uzi nae ataoa naye atatendewa kama alivyotenda, kula mke wa mtu mbaya sana

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kiuchumi upo vipi bro! Au unarukia tu vitu vya watu?!!! Kipato kipo cha kueleweka!? Ndinga! Mjengo/mijengo,! Deals za pesa ndefu zipo?!
Au ni "hand to mouth" tu mwaka mzima!!!
Ikitokea wote wawili waka "shiba", uwezo wa kulea upo,au ndio utamuachia mwenyemke alee,?unauwezo wa kulipa fee millioni 2,standard one!!
Kuna jamaa alikuwa anakula shemeji yangu,Mdada nimemtoa kijijini,nikampiga sopu sopu, mifisi ikaanza kumendea,kila siku jamaa linamrudisha na boda boda,akiwa anatoka shule,.
Jamaa likaanza kuleta dharau kwangu,Shem alipomaliza shule,nikamtafutia kazi Mbeya,nikampa somo,aachane na walugaluga wasio na kitu,sasa HV,mtoto kanawili,anataka nikamtembelee huko Mbeya!
Lile jamaa la kitaa halina amani kabisa,
Tafuta hela,acha kula vya watu,utaliwa na wewe!!
naoana na wwe unaenda mbeya kula shemeji
 
Sifanyi ujinga huooo
Ujinga upi, maana hapo kuna mambo
1. Huwezi kuwa jamaa anayetembea na mtu na mdogo ake
2. Huwezi kuwa mke/mume wa mtu na ukachepuka
3. Huwezi chepuka na mke/mume wa mtu
4. Huwezi mpa mdogo wako kwa mtu mwingine uliyetembea nae
5. Huwezi pelekwa kama zawadi kwa mwanaume/mwanamke aliyetembea na nduguyo

Mkuu, hufanyi nn kati ya haya??
 
Mkuu acha kukufuru,hivi unawezaje kumtaja Yesu,Mungu Mkuu ktk ujinga na upuuzi wako?.Sote tu wazinzi na watombaji wazuri lkn hatuwezi kamwe kutaja majina matakatifu ktk upuuzi wetu.Ninakuomba utengue kauli.
 
sishangai sana maana kuna mtu pia ashaleta uzi kua alikua anakumkula bi mkubwa mmoja, baadae bi mkubwa akataka aoe binti yake maana hakua tyri kumpoteza jamaa aende kwa wanawake wengine wa mbali.. sasa hili halishangazi sana kwa mtazamo wangu.
 
Mimi nimewahi kufanya ujinga ila naona ww umenizidi mbali sana kiasi cha kusema ww siyo mjinga tena bali ni mpumbavu, maana mjinga huwa kidogo ana unafuu akishauriwa anaweza kushaurika ila mpumbavu huwa habadiliki sasa ndo ww hapo 🙂🙂🙂 kwenye hili siku sapoti kabisa, unakula mke wa mwanaume mwenzio for more than 3 years alafu unajisifia kama vile umefany jambo la maana sana kumbe utopolo tu, tena unaenda mbali kabisa unadiriki kusema kuwa " wanawake kama hawa ufalme wa mbinguni uliandaliwa kwa ajili yao na walishasamehewa dhambi zao tiar " ivi akili zako ziko sawa sawa kweli we jamaa... shame on you 😕😕😕
Kosa langu ni lipi hapo? Kula mke wa mtu? Mfalme Daudi alikula mke wa mtu miaka sembuse mimi miaka 3 tu?
 
Ujinga upi, maana hapo kuna mambo
1. Huwezi kuwa jamaa anayetembea na mtu na mdogo ake
2. Huwezi kuwa mke/mume wa mtu na ukachepuka
3. Huwezi chepuka na mke/mume wa mtu
4. Huwezi mpa mdogo wako kwa mtu mwingine uliyetembea nae
5. Huwezi pelekwa kama zawadi kwa mwanaume/mwanamke aliyetembea na nduguyo

Mkuu, hufanyi nn kati ya haya??
Hapo namba 5 tu ndio siwezi fanya...ila mengine mungu tu ndio ajuaye
 
Utakuwa ulijifungua kwa operation. Hivyo una mshono.
Ungekuwa ume overhaul yote haya usingeeleza kwa kujifanya ,"me"
 
kama kuna ujinga kijana hatakiwi kufanya au hata kuuwazia ni mke watu hii ni kuvaa mabomu live
 
Back
Top Bottom