Baada ya kuachana na mnyonyaji Said Fella, Aslay asukuma ndinga la maana

mwanamwana

JF-Expert Member
Aug 1, 2011
1,060
4,043
Msanii huyo ameandika haya...

"Alhamdulillah Asantee Mungu kwa hiki ulichonipa naishukuru management yangu Chambusso na Mxcarter, nakupenda Mama yangu kokote ulipo kila hatua dua 'new car' Umma unaongea"


Aslay.jpg
 
Chambuso na mkubwa fella ni kama pete na kidole na Nina huhakika fella ana pasenti yake pale kwa asley.

Wewe unafatilia na kuyajua mambo. Siyo hao wengine manyumbu hawajielewi. Hivi utamtenganishaje Fella na Chambuso. Chambuso ndiyo menega wa Aslay. Fella ndiyo aliyempa Chambuso jukumu la kumsimamia Aslay. Fella ndiyo aliyempa Aslay jukumu la kuwasimamia madada 6. Sasa utamtengaje Fella na Aslay. Think twice.
 
40 Reactions
Reply
Back
Top Bottom