sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,408
- 19,026
- Thread starter
- #41
✔️✔️✔️✔️✔️Malezi ya mtoto ni issue ya kubalance tu,
Usimpe sana raha wala asipate tabu sana,kikubwa awe na uwezo wa kuishi kwenye hali zote mbili,
Kama tunavyojua kua life is very short,ni lazima mtoto umuandae kuishi maisha hata kama Mungu atakuchukua,
Usimpe mtoto kila akitakacho wala usimnyime kila akitakacho