BAADA YA KIPINDI KIREFU NIMEFANIKIWA KUMUACHA

msemakweli2

JF-Expert Member
Jul 28, 2013
1,627
1,879
Ninayo furaha ya kipekee kabisa,baada ya zoezi langu kufanikiwa.
Yapata mwaka mmoja sasa nimekuwa katika mahusiano na mke wa mtu,kila nikitaka kumuacha nashindwa kutokana na sababu mbali mbali hasa hasa yeye hunihitaji zaidi mimi kutokana na migogoro kwenye ndoa yake,nimejaribu kumshauri ili wafikie muafaka na mwenza wake ila hataki,nimekaa nimefikiria nikaona mke wa mtu ni sumu,kabla hatujaenda mbali zaidi ngoja ninawe mikono,hivyo ni wiki sasa sijamtafuta wala hajanitafuta,nadhani nimefanikiwa sasa.
 
Tulia atakutafuta tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pengine yupo njiani na yeye kaona bora akutafute ki analogy...kama umefahamu hilo kuhusu mke wa mtu ni vema mkuu, sababu ukikamatwa kunakuwa na zaidi ya adhabu
 
Bora ingekuwa yeye ndie hataki kuendelea na wewe ila kwa kua ni wewe ndie hutaki
Kazi bado iko
 
Back
Top Bottom