kajojo
JF-Expert Member
- Jun 9, 2012
- 2,937
- 5,430
jamaa ameweka cc 2700 ,2500 halafu anaulizia ulaji wa mafuta Upo vipDuh
Mpaka umefikia level ya kununua hizi gari sidhani kama kigezo cha mafuta ni ishu tena!
Kama unaulizia ulaji wa mafuta mkuu nadhani kuna steji ya maisha umeruka umevamia hii...
Hizi gari ni za high end...Ulaji wa mafuta inatakiwa isiwe hoja ya kuzungumzia kabisa!
.... Tumpe miezi 6 tu ataanza kuulizia bei za mikebe