wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,226
- 37,570
Ni kweli manual ziko chache na ukizipata pia ni expensive kuliko auto.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Sijawahi kua interested na products za VW,so sina uzoefu upande huo mkuu.
Sent from my iPhone using JamiiForums
fact!Duh
Mpaka umefikia level ya kununua hizi gari sidhani kama kigezo cha mafuta ni ishu tena!
Kama unaulizia ulaji wa mafuta mkuu nadhani kuna steji ya maisha umeruka umevamia hii...
Hizi gari ni za high end...Ulaji wa mafuta inatakiwa isiwe hoja ya kuzungumzia kabisa!
Kuna Touareg ya V12 Petrol?Chukua VW Touareg Ila chukua yenye 3.0TDI. Hio ya 2.5Tdi unazingua sana system ya ac/alternator.
Touareg is cheap to run comparing to LR Disco 4
Kuna W12.....simply put...2 V6 engines fused together. VV=W....6+6=12
Okay. Thanks.Kuna W12.....simply put...2 V6 engines fused together. VV=W....6+6=12
W12 is a guzzler....you gotta be Shell shareholder.
Kama huna hela ni weweKama huna kipato cha uhakika tafuta gari ya Japan kuhudumia rahisi. Hayo used ya Europe utakuja kupata uchizi
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo hamjui kusoma..... nimesema "huna hela". Read before you typeKama huna hela ni wewe
Kama jamaa angeki wa a hajui budget hake asingekuja na kitu straight anataka nn
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani beberu hatakiwi kbs kubana matumizi?!!!...Kipindi Bush mdogo akiwa rais alikuwa anapita kuzima taa za ikulu sasa mimi si kigezo kutaka kununua kitu kikubwa hlf nisiruhusiwe kutaka kujua ulaji wa mafuta bali ni kutaka kujua tu piaOndoa kipengele cha ulaji wa mafuta kinakushushia hadhi mkuu, huwezi kuwa na uwezo wa kumiliki hayo magari halafu uulizie habari ya mafuta otherwise nunua ist,spacio,raum an the like.....
Pia mkebe hapanaOndoa kipengele cha ulaji wa mafuta kinakushushia hadhi mkuu, huwezi kuwa na uwezo wa kumiliki hayo magari halafu uulizie habari ya mafuta otherwise nunua ist,spacio,raum an the like.....
Unao uzoefu wowote na Landrover Defender je linaweza kukaa mpaka mjukuu alikute.Discovery 3 2.7l ni ya diesel hio so consumption yake ni ya kawaida sana,akipata manual inakua poa zaidi ila akirogwa akanunua disc.3 ile v8 4.4l atajuta aisee maana consumption yake ni 1lt/5km saa nyingine inashuka mpk 1lt/4km kutegemea na uendeshaji wako.
Disco.3 ina magonjwa ya ajabu ajabu sana sio reliable kihiivyo,zile air suspension tu zikizingua mamilion yatakutoka unless uzibadili kwenda standard suspensions though ule utamu wa gari unapungua,kuna siku unaamka tu limeroga milango haifunguki ukimleta fundi jiandae kwa mpunga kukutoka vzr tu. etc
Spare parts ziko shops kibao though pia bei yake imechangamka kiaina yake.
Apart from matatatizo mengine ni gari poa sana,confortable,off-road liko poa pia though kutokana na maintainance costs zake mtu unaogopa kulipeleka hata offroad.
Ukifanikiwa kamata hio disco.3 2.7l manual HSE kula maisha,maisha ni haya haya tu.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Dah,Eti mkebe wa gari,.
Hahahaa,.
Namimi naomba kujua bei ya vellfire jamanii hata ya 2015 tafadhali
Mangiiiiiiii hahaha bei tuu mzee baba,.hata guta sina,..Dah,
Mimi na ist yangu hii...
Itakuwa mara ya mwisho kuku-quote.
Shikamooo!!
Sent using Jamii Forums mobile app