Baada ya Kiongozi wa UAMSHO kupatikana, SMZ yapiga marufuku Vipindi vyao vya Radio

Akamatwe na wana usalama halafu arudi smart hivyo utadhani alikuwa saloon kuandaliwa kwa ajiri ya harusi!
Naomba mtu asaidie kuupload picha ya Dr. Ulimboka ili wengine waone mtu akitekwa na baadaye kuachiwa na wana usalama huwa anafananaje..
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Mtoto kapewa msahafu ili aukojolee na kugeuka nyoka naye bila ajizi katekeleza na hajageuka nyoka. Waislamu, mtafuteni yule mtoto wenu aliyetoa msahafu mumuulize ilikuwaje, la sivyo mnayofanya ni visingizio nyuma ya ajenda zenu za siri.

Yule mtoto aliyekojolea kitabu kinachoitwa kitakatifu hajageuka kuwa mjusi tu? Mtoto aliyeaminishwa kuwa mwenzake atakuwa mjusi kwa sababu tu amekojolea kitabu basi alikuwa "Brainwashed". Wakristo wanaamini kuwa Mungu wao anaweza kujipigania na hahitaji msaada wa binadamu wenye dhambi. Inaonekana huyu mungu wa hawa jamaa hajiwezi mpaka asaidiwe kwa vurugu na waumini wake?
 
Nilijua tu kuwa yule Muajemi hajatekwa wala kuwekwa kizuizini.
Polisi inabidi wamkamate huyo jamaa alichokifanya alikipanga ili kuamsha vurugu huko visiwani.
Huu ulikua ni mpango uliosukwa nina uhakika kabisa, na tutarajie mipango mingine mingi ya namna hii kabla ya uchaguzi mkuu na wakati wote wa mchakato wa katiba.
 
Naona mnahangaika tu kubwabwaja humu ndani mkiuponda uislam. Mimi ni muislam lakini napinga fujo zilizokosa msingi, lakini sishangai saaaaana, coz watu dini hawaijui, kwaiyo wanaburuzwa tu, wakiambiwa jihadi iko sehemu flani wanajipeleka, hawa watu wa aina hii ndio kama wale wanaoambiwa wakajitoe muhanga kisha wataingia peponi maskini, tatizo dini kichwani kushnee, akili zenyewe kushneee, maisha yamewapiga picha nega zimetoka vivuli, wamesahau kuwa SUICIDE ni ticket ya 1st class kwenda motoni tena ni very cheap, hakuna suicide ya jihadi tusidanganyane, ushafanya maasi ukooo eti unataka kuitumia opportunity ya mbagala uuliwe uende peponi, hakuna pepo inayopatikana kirahisi kama ivo. Nawaambia wale wenye chuki na uislam, kama wanatwita tunaabudu mashetani basi bora sisi, mana mungu wetu ndie alieumba ulimwengu, hakuzaa wala hakuzaliwa, hana mwanzo wala mwisho, na hafikiriji katika milango ya fahamu, ndie aliekuimba wewe ukawa unakula kupitia mdomo na unakiyolea kupitie kitundu cha nyuma, na maji machafu yakawa yanatokea katika uume/uke wako, hii ni creation iliokuwa perfect, huyu mungu mnaemwita shetani ameshaeleza kuwa anamuongoa yule atakae na humuacha apotee yule atakae, kuna watu wanaabudu sanamu lakini anachoomba anapata, basi huyo ameamua kupotea na mungu nae humfanya aendelee na upotevu kwani ndio aliouchagua. Sasa nyinyi mnamuabudu nani? Mi sielewi kabisa, mnaabudu sanamu lenye chupi? Mnamuabudu yesu? Hivi mungu anazaliwa? Mungu gani hawezi kuishi bila ya kula, kunuwa, kunya na kukojoa? Mungu gani anategemea mavazi kujistiri, mungu gani asiekuwa na ukubwa wowote? Akichomwa kisu anatoka damu, akipigwa anaumia, ni mungu gani anaeshuka duniani akaja akapigwa kisha akakimbia mbinguni? Msituone waislam wengine tumekaa kimya hatukashifu ujinga wa dini yenu mkaona labda hatuna la kusema, tunakuwa tunawatizama tu ujinga wenu, silence is the best answer for a fool!

Na tukirudi na hai radio Iman, hii si ndo ile radio ilioko morogoro? Hii radio ni wafuasi waKIWAHABI, mimi sishangae wasikilizaji wa hii radio wakiwa na fujo kwa sababu tangu mwanzo historia ya uwahabi ni fujo, na kuwapinga wale wanaotetea uislam wakweli wenye amani, ingieni google kisha fanyeni research kidogo andikeni WAHABI mtapata details zao.
 
Kuna mtu JF alisema kuwa Farid hajatekwa kafichwa kwenye nyumba flan na baada yeye kutoa hii siri ameamishwa, watu wakampinga baadhi wakadhani uongo ndo haya ni kweli mtu aliyetekwa ni Dr Ulimboka ukimuona mwenyewe utakubali katekwa hao wanausalama wamteke wamuache vile si kweli kabisa serikali inatakiwa kuchukua mamuzi jaman
 
Back
Top Bottom