Baada ya kile kinachoitwa ukombozi wa Libya, NATO kulipwa USD Trilioni 3

Mbopo

JF-Expert Member
Jan 29, 2008
2,532
413
Wakati mjadala ukiendelea juu ya kuitambua au kutoitambua NTC, sasa imedhihirika kwamba utawala huo mpya wa waasi utalazimika ku-service deni linalokadiriwa kufikia dola la Kimarekani Trilioni 3 kama gharama na hasara ambazo wanachama wa NATO wameingia kwa kushiriki katika vita vya kumuondoa Colonel Gaddafi. Gharama hizo zinahusisha mabomu, makombora na bunduki na silaha nyingine zilizotumika katika vita hivyo, gharama za ndege zake nane zilizoangushwa na majeshi ya Gaddafi wakati wa mapambano, pamoja na askari waliopoteza maisha katika harakati hizi.

Deni hili kubwa na ambalo litachukua muda mrefu sana kulilipa, litaathiri kwa kiasi kikubwa mapato ya mafuta ghafi ambayo yatakuwa yanasafirishwa na Libya kwenda nchi za nje. Mpango huu ulijadiliwa kwa mara ya kwanza miezi kadhaa iliyopita na unaripotiwa kupingwa na kiongozi wa waasi wa wakati huo aliyekuwa akifahamika kama Yunus na kutokana na msimamo wake huo aliuawa siku moja baada ya kueleza msimamo wake huo kwa viongozi wa NATO. Gharama kama hizi zilirushwa kwa uongozi mpya wa Iraq baada ya utawala wa Saddam Hussein kuanguka na zitaiweka Libya na wananchi wake aktika wakati mgumu kwani italazimika kusalimisha pato lake lote la taifa kwa ajili ya kukidhi matakwa ya watu hawa ambao wakati wote wamekuwa wakionekana na 'wakombozi' wa wananchi wa Libya waliosemekana kuwa katika ukandamizaji wa utawala wa kiimla na wakishetani wa Gaddafi. Baada ya kusherehekea ukombozi huo, sasa watalazimika kujifunga mikanda ili kuwaridhisha 'waliowakomboa'!

Swali linalojitokeza ni kwamba, je, wananchi wa Libya waliridhia mpango huu ambao sasa unawagharimu? Je, kwa nini NATO wameonyesha kama vile walikuwa na nia njema kumbe lengo lao lilikuwa ni tofauti? Je, hii inaweza kuwa ndiyo sababu ya wao kuatoingilia migogoro ya nchi ambazo hazina rasilimali za kutosha ambazo wanaweza kuzitumia kulipia gharama zao kama Somalia, Madagascar na kwingineko?
 
Du! Izo ni pesa nyingi sana,yani ni sawa waasi wameruka mkojo na kukanyaga kinyesi,mi nilijua wanasaidiwa bure harafu watalipa indirect kupitia mikataba ya kampun za mafuta na contractors wa kujenga infrastructures zote zilizoaribiwa kwa vita,kumbe wanalipa both direct na indirect,New World Order inafanya kazi
 
Ukoloni umerudi kwa staili nyingine. Tumshukuru Mungu kwa kutunyima mafuta.
 
Nawaonea huruma tu wananchi wa LIbya kwani nchi yao itakuwa kama Iraq.
Hawajui walichokuwa wanashabikia.
 
Wacha wakome.

Mungu wangu hawa NATO ni haramu kabisa. Kumbe ndio waliomuua Yunus kwa kukaidi amri zao? Yunus alifanya kazi muda mrefu na Gaddafi kwa hiyo aliambukizwa moyo wa kiburi na kutetea taifa lake. Masikini hakujua kuwa NATO si wakombozi balli WAKOMBAJI waliokuja kukomba mafuta ya nchi yao. Baada ya miaka kama miwili hivi wale ambao hawajaoa bado wakitaka kuoa itabidi walipe mahari wao wenyewe, wajijengee nyumba huku wakijua baba zao waliwapata mama zao na nyumba kwa gharama za Serikali. Hao nao watakasirika wataona walinyimwa fursa.
 
Ukoloni umerudi kwa staili nyingine. Tumshukuru Mungu kwa kutunyima mafuta.

We rafiki yangu upo nyuma sana kia akili, NATO Big chaps hawana shida ya mafuta kama hujui hilo wala energy source zao zinazotegemea mafuta ya petrol hazifiki hata 30% katika kila hizo nchni kubwa, na 5 years coming wame aim kushusha zaidi na zaidi, ni nyie mlio lala ndio bado hata hamjui dunia inaelekea wapi na wala hamuijui dunia vyema.
 
<font size="3"><br />
We rafiki yangu upo nyuma sana kia akili, NATO hawana shida ya mafuta kama hujui hilo wala energy source zao zinazotegemea mafuta ya petrol hazifiki hata 30% katika kila nchni za NATO, na 5 years coming wame aim kushusha zaidi na zaidi, ni nyie mlio lala ndio bado hata hamjui dunia inaelekea wapi na wala hamuijui dunia vyema.</font>
<br />
<br />
Sasa wewe mwenye akili umeongea nini hapo zaidi ya kutoa pumba zilizochanganyika na harufu ya gongo. Watu wengine ovyo kabisa.
 
Deni dogo sana tanzania tuadaiwa mzdeni ya njee zaidi ya trillion 9, sasa jamaa wanamafuta baada ya miaka michache tu watamaliza
 
Wakati mjadala ukiendelea juu ya kuitambua au kutoitambua NTC, sasa imedhihirika kwamba utawala huo mpya wa waasi utalazimika ku-service deni linalokadiriwa kufikia dola la Kimarekani Trilioni 3 kama gharama na hasara ambazo wanachama wa NATO wameingia kwa kushiriki katika vita vya kumuondoa Colonel Gaddafi. Gharama hizo zinahusisha mabomu, makombora na bunduki na silaha nyingine zilizotumika katika vita hivyo, gharama za ndege zake nane zilizoangushwa na majeshi ya Gaddafi wakati wa mapambano, pamoja na askari waliopoteza maisha katika harakati hizi.
mkuu hapo penye Red sidhani kama ni sawa, gharama iliyoingia marekani kwa vita ya Iraq pamoja na Afghanistani tangu mwaka 2001 imefikia 1.2Trillion USD ndani ya miaka kumi 'according to cost of war', hiyo vita ya miezi mi5 ya libya haiwezi kucost kiasi hicho!!
 
kila mtanzania mahala alipo aanze kufikiria ni namna gani ataweza kuikomboa Tanzania na kiupa uhuru wa pili kutoka kwenye ukoloni huu mpya ili nae awe baba wa pili wa taifa km Nyerere,
 
Ukoloni umerudi kwa staili nyingine. Tumshukuru Mungu kwa kutunyima mafuta.
<br />
<br />
kubuka hatuna mafuta lakini tuana almasi,uranium,dhahabu ambapo kwa kutumia mbumbumbu kama kina Kafumu na wengina WANAGAMBA wanafanya cc kuibiwa raslimali zetu,kwetu hawatumii bunduki kama libya ila wanatumia kalaamu,kwa sababu ya umbumbumbu wa wanamgamba.
 
mkuu hapo penye Red sidhani kama ni sawa, gharama iliyoingia marekani kwa vita ya Iraq pamoja na Afghanistani tangu mwaka 2001 imefikia 1.2Trillion USD ndani ya miaka kumi 'according to cost of war', hiyo vita ya miezi mi5 ya libya haiwezi kucost kiasi hicho!!
Mkuu, wangu data zilikuwepo mpaka October 2010.
U.S. Wars in Iraq and Afghanistan cost $6 Trilion, silaha walizotumia pamoja na kuwasaidia waasi hiyo pesa inaweza kufika kiasi ulichokitaja ni kidogo sana kwa vita, jaribu kufuatilia nadhani utakutana data
 
Wakati mjadala ukiendelea juu ya kuitambua au kutoitambua NTC, sasa imedhihirika kwamba utawala huo mpya wa waasi utalazimika ku-service deni linalokadiriwa kufikia dola la Kimarekani Trilioni 3 kama gharama na hasara ambazo wanachama wa NATO wameingia kwa kushiriki katika vita vya kumuondoa Colonel Gaddafi. Gharama hizo zinahusisha mabomu, makombora na bunduki na silaha nyingine zilizotumika katika vita hivyo, gharama za ndege zake nane zilizoangushwa na majeshi ya Gaddafi wakati wa mapambano, pamoja na askari waliopoteza maisha katika harakati hizi.

Deni hili kubwa na ambalo litachukua muda mrefu sana kulilipa, litaathiri kwa kiasi kikubwa mapato ya mafuta ghafi ambayo yatakuwa yanasafirishwa na Libya kwenda nchi za nje. Mpango huu ulijadiliwa kwa mara ya kwanza miezi kadhaa iliyopita na unaripotiwa kupingwa na kiongozi wa waasi wa wakati huo aliyekuwa akifahamika kama Yunus na kutokana na msimamo wake huo aliuawa siku moja baada ya kueleza msimamo wake huo kwa viongozi wa NATO. Gharama kama hizi zilirushwa kwa uongozi mpya wa Iraq baada ya utawala wa Saddam Hussein kuanguka na zitaiweka Libya na wananchi wake aktika wakati mgumu kwani italazimika kusalimisha pato lake lote la taifa kwa ajili ya kukidhi matakwa ya watu hawa ambao wakati wote wamekuwa wakionekana na 'wakombozi' wa wananchi wa Libya waliosemekana kuwa katika ukandamizaji wa utawala wa kiimla na wakishetani wa Gaddafi. Baada ya kusherehekea ukombozi huo, sasa watalazimika kujifunga mikanda ili kuwaridhisha 'waliowakomboa'!

Swali linalojitokeza ni kwamba, je, wananchi wa Libya waliridhia mpango huu ambao sasa unawagharimu? Je, kwa nini NATO wameonyesha kama vile walikuwa na nia njema kumbe lengo lao lilikuwa ni tofauti? Je, hii inaweza kuwa ndiyo sababu ya wao kuatoingilia migogoro ya nchi ambazo hazina rasilimali za kutosha ambazo wanaweza kuzitumia kulipia gharama zao kama Somalia, Madagascar na kwingineko?

Highlighted red disqualify your post as non-credible and has no proof. Full of "Kijiwe cha Kahawa" stories, USA was a major contributor in terms of resources but used about $1Billion. Where is $3Trillion comes from?. Do you know how many billions in one Trillion?, For your help 1,000 billion = 1 Trillion.

The financial cost of Iraq war which included air power + ground troops and equipment is estimated to be $757.8 billion, with extra $1 Trillion for veteran care etc. The war started March 2003, how can a war fought in 6 months has a price tag of $3T? just for bombing with no boots on ground?. Please my friend this is JF, being able to post on yourself sometimes give you an opportunity to de-legitimise your posts. And for this posts exactly you have shown your colour, that you are a member of " Vijiwe vya kahawa", the only place you can come across these types of stories.
 
Kwa faida ya ili kujua ukweli yoyote-google haya maneno.
Us wars in iraq and afghanistan cost
 
Highlighted red disqualify your post as non-credible and has no proof. Full of "Kijiwe cha Kahawa" stories, USA was a major contributor in terms of resources but used about $1Billion. Where is $3Trillion comes from?. Do you know how many billions in one Trillion?, For your help 1,000 billion = 1 Trillion.

The financial cost of Iraq war which included air power + ground troops and equipment is estimated to be $757.8 billion, with extra $1 Trillion for veteran care etc. The war started March 2003, how can a war fought in 6 months has a price tag of $3T? just for bombing with no boots on ground?. Please my friend this is JF, being able to post on yourself sometimes give you an opportunity to de-legitimise your posts. And for this posts exactly you have shown your colour, that you are a member of " Vijiwe vya kahawa", the only place you can come across these types of stories.
Nakubaliana sana na wewe mkuu, u really anderstand what a trillion USD costs, nimeangalia tena the cost of war in Iraq till this moment has reached 793Billion USD + war in Afghanistan 451Billion USD giving a grand total of 1.2trillion USD...hao kina 'Chatu Dume' wanaosema 3Trillion USD for Libyan war sidhani kama wanaelewa hizi digits!!
 
Back
Top Bottom