Baada ya kile kinachoitwa ukombozi wa Libya, NATO kulipwa USD Trilioni 3

Ukoloni umerudi kwa staili nyingine. Tumshukuru Mungu kwa kutunyima mafuta.

Ukoloni huo wa huko na huu wa CCM na Tanzania una tifauti gani na hatuna mafuta hapa ? Bora tungalikuwa nayo tu maana mkoloni ni mkoloni kwisha kazi .
 
mkuu hapo penye Red sidhani kama ni sawa, gharama iliyoingia marekani kwa vita ya Iraq pamoja na Afghanistani tangu mwaka 2001 imefikia 1.2Trillion USD ndani ya miaka kumi 'according to cost of war', hiyo vita ya miezi mi5 ya libya haiwezi kucost kiasi hicho!!
Mkuu, nimebandika pandiko langu Wars Cost lipitie au nalo utasema nimetunga
 
wao walijua wanapewa huduma zote bure?wapewe then wazungu wapate nini?acha sasa walipe gharama za unafiki na usaliti wao kwa ndg zao na jamaa zao

They have to suffer the sequences now
 
Wajinga kabisa hawa NATO mi tangu awali sana niliwmbia hii vita ni ujinga mtupu wala sio Ghadaff lengo ni biashara wamlofa wasiojua wakasema ni ulongo na kwamba Ghadaff anaondolewa ni vizuri sana!!! sasa angalia walibya 78 elf wameuwawa jumlisha na hizo gharama!! Miafrika sisi ovyo kabisaa
 
r-MI6-huge.jpg
 
The report estimates the U.S. government has already spent between $2.3 trillion to $2.7 trillion and will spend at least a trillion more over the next fifty years. (according to a report released by Brown University). Jioni njema wana JF
 
Kwani hao NATO na NTC hawakuwa na makubaliano maalum juu ya gharama ktk vita? kama mkataba ulikuwepo na uko hivyo, wanaribya wameuzwa.
 
Je NATO na NTC hawakuingia mkataba juu ya gharama zitakazotumika ktk vita? naomba kujua.
 
Hili ndiyo tatizo la kuishi kwa "oughts" badala ya hali halisi. Hakuna aliyetoa takwimu sahihi kuhusu gharama za vita vya Libya na inawezekana hiyo unayosema kuwa ni contribution ya Marekani ikawa ni kweli. Lakini wao NATO hicho ndicho wanachotaka walipwe na ndicho wanachodai kwamba ndiyo gharama za "ukombozi" wa Libya. Sasa kama kuna mtu anasema kwamba amount hiyo ni doubtful, huko ni kuthibitisha kwamba hawa NATO ni wezi na ni kazi yao ku-inflate gharama ili watunyonye. It proves that NATO are never genuine in their intentions and deeds. Kwa hiyo kama kuna mtu alidhani kwamba kuna tatizo la umbumbumbu wa hesabu kwa mtoa figures basi huko ni kubeza kusiko na msingi.
Wacha longo longo...Weka source inayoendana na kichwa cha habari.
 
Bila shaka hata hao waasi wa Tripoli wanajua duniani hakuna kitu kinaitwa Charity! Kila gharama iliyotumika kuwasaidia watairudisha pamoja na riba na faida juu yake.
 
Hili ndiyo tatizo la kuishi kwa "oughts" badala ya hali halisi. Hakuna aliyetoa takwimu sahihi kuhusu gharama za vita vya Libya na inawezekana hiyo unayosema kuwa ni contribution ya Marekani ikawa ni kweli. Lakini wao NATO hicho ndicho wanachotaka walipwe na ndicho wanachodai kwamba ndiyo gharama za "ukombozi" wa Libya. Sasa kama kuna mtu anasema kwamba amount hiyo ni doubtful, huko ni kuthibitisha kwamba hawa NATO ni wezi na ni kazi yao ku-inflate gharama ili watunyonye. It proves that NATO are never genuine in their intentions and deeds. Kwa hiyo kama kuna mtu alidhani kwamba kuna tatizo la umbumbumbu wa hesabu kwa mtoa figures basi huko ni kubeza kusiko na msingi.

Sometimes ni uungwana pia kuomba samahani kama uliamua kupotosha jambo makusudi, kuendelea kukazia habari ya uongo ni kujidhalilisha na aibu for a person of ur calibre!!!!! Mate you can just have a sip of kool aid and move on!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom