Baada ya Kikombe Loliondo, Mtwara Kuna Kijiko!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baada ya Kikombe Loliondo, Mtwara Kuna Kijiko!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Katavi, Apr 14, 2011.

 1. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #1
  Apr 14, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Haya mambo sasa yamekuwa kama biashara na watu wanafanywa wajinga. Huko Mtwara nasikia kuna mzee mmoja aliyeoteshwa dawa ya kuponya ukimwi, na anasema yeye alikuwa muathirika. Baada ya kunywa hiyo dozi aliyooteshwa anasema kapona kabisa na uthibitisho kapima hospitali tatu tofauti..
  Hivi sasa anatoa dozi hiyo kwa shilingi elfu moja na sio kikombe bali ni kijiko kile kikubwa cha chakula. Anapatikana kijiji cha Moma nje kidogo ya mji wa Mtwara.

  Source: Nimeambiwa na rafiki anayeishi huko.....kwa wana JF waliopo Mtwara watatupa zaidi kuhusiana na kioja hiki.
   
 2. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #2
  Apr 14, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  Ikifika dec mwaka huu kutakuwa na watu waliooteshwa kila kata nchi hii.
   
Loading...