MoneyHeist4
JF-Expert Member
- Jul 10, 2017
- 2,105
- 3,068
Toka sakata la uchaguzi lifanyike twitter ilipigwa pin kwa bando la kawaida na ilibidi mpaka kutumia VPN.
Nashangaa leo najaribu kuingia bila VPN naona inafunguka vizuri bila shida.
RIP Maalim Seif.
Nashangaa leo najaribu kuingia bila VPN naona inafunguka vizuri bila shida.
RIP Maalim Seif.