Baada ya kifungo cha muda mrefu hatimae Twitter imeachiwa huru

Toka sakata la uchaguzi lifanyike twitter ilipigwa pin kwa bando la kawaida na ilibidi mpaka kutumia VPN.

Nashangaa leo najaribu kuingia bila VPN naona inafunguka vizuri bila shida.

RIP Maalim Self.
Mimi niliaccess twitter kwa voda wiki iliyopita.
 
Toka sakata la uchaguzi lifanyike twitter ilipigwa pin kwa bando la kawaida na ilibidi mpaka kutumia VPN.

Nashangaa leo najaribu kuingia bila VPN naona inafunguka vizuri bila shida.

RIP Maalim Seif.
Acheni ushamba VPN ni jambo la kawaida tu
 
Toka sakata la uchaguzi lifanyike twitter ilipigwa pin kwa bando la kawaida na ilibidi mpaka kutumia VPN.

Nashangaa leo najaribu kuingia bila VPN naona inafunguka vizuri bila shida.

RIP Maalim Seif.
1613565934148.png
 
Back
Top Bottom